Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Hivi mkuu unamanisha hawezi kugombea ubunge kuwa hana macho/masikio/mdomo na makalio ya kukaa pale bungeni au unamanisha hana sifa za kugombea sababu ya ufinyu wa akili yake?? Kama kigezo cha 'ukihiyo' wakina Mbunge Lusinde na Msukuma ni Ma genius??

Yani imetolewa order kutoka jumba jeupe kuwa huyu apachikwe jimbo hilo apite kura za maoni mpaka kuapishwa inashindikana??

Acha mahaba mkuu!! Ni lazima tujue kama upinzani tunapambanaje na urasimu huu ila sio kuishi kwa mahaba.
Huyo hawezi kugombea ubunge, labda kama hana akili kabisa ndiyo anaweza kufanya hivyo. Kuna mtu dizaini ya bashite miaka ya nyuma akiitwa Kihiyo aligombea Temeke, waulize waliokuwepo kilichompata.
 
Hivi tunawezaje kuviacha vichwa vyenye akili kama Membe, Lissu, Zitto, January na wengineo na kumruhusu Bashite kuwa mtukufu?

mbona waliachwa wakina malecela kuwa rais waliachwa wakina mwandosya na wengine mashuhuri akawa rais makufuli
 
kwani madhabahu ndio nini au msikitini kama askofu hakutumia njia nzuri ya kumkanya lazima agome kuweni na utaratibu
 
Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Hilo ni sahihi kabisa na ndiyo maana ' hatumbuliwi ' hapo kwa sasa kwani kama ' akitumbuliwa ' basi itaweza ' Kuathiri ' sana harakati zake za Kisiasa na akaukosa. Hata hivyo wana CCM wa Kawe huyo siyo chaguo lao na wengi wanamtaka Adamjee kwani amelifanyia makubwa hilo Jimbo miaka ya nyuma alipokuwa Mbunge Wao. Hata mwakani Jimbo la Kawe Moto utawaka!
 
Kwa mwenendo wa Makonda pale Kanisani hata Musiba ameshindwa kumtetea.

Mtakumbuka Makonda alikataa kuwaomba radhi Clouds kwa kitendo chake cha kuwavamia.

Hata pale Kanisani ukisikiliza kwa makini utaona kwamba Makonda aligoma hakuomba radhi kwa kauli za kibaguzi alizotoa.

Musiba ameshangazwa na jinsi Makonda alivyokosa unyenyekevu akiwa madhabahudi, huku akishuhudiwa na Waziri Mkuu, Katibu Mkuu wa chama, na viongozi wengine wa kidini na kijamii.



Wanazuga wote Hawa
Who is Musiba ??????
 
Huyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.

Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.

Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.

Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.

Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
Ndiye anayetumia jina lisilo lake. Ndiye anayetumia cheti cha masomo kisicho chake.

Ndiye aliyekwepa kodi, na vifaa vikapigwa mnada. Ndiye pekee anayetajwa na wengi kuwa anaongoza kundi la wasiojulikana.
 
Hilo ni sahihi kabisa na ndiyo maana ' hatumbuliwi ' hapo kwa sasa kwani kama ' akitumbuliwa ' basi itaweza ' Kuathiri ' sana harakati zake za Kisiasa na akaukosa. Hata hivyo wana CCM wa Kawe huyo siyo chaguo lao na wengi wanamtaka Adamjee kwani amelifanyia makubwa hilo Jimbo miaka ya nyuma alipokuwa Mbunge Wao. Hata mwakani Jimbo la Kawe Moto utawaka!

ni kuwa hautaki kusikia Makonda ana prosper!!
 
Nilishangaa kuona anashindana na Waziri wa Fedha kulipia furniture alizoagiza hataki kulipa kodi? Hadi Mh Rais akaingilia kati, nilishangaa sana
Halafu mkuu wakati anaizumgumzia hii ishu (nadhani akiwa Chattle) alikuwa anaongea kwa upoleee. Mwanzo nikadhani ndo ishu ingemuondoa Bash boy. Maana ilikuwa na kila dalili za uhalifu, na mkuu alisema hilo. Lakini wapi! Sijui mpaka aje afanye kituko gani ndo mkuu yamfike shingoni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom