May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,367
- 9,110
Mimi siwezi kabisa kumuamini huyu jamaa, hivyo siwezi kuwa fooled kirahisi hivyo.Mwnaharakati ‘huru ‘ Musiba kawachota Wazito wa kufanya tafakuri Mujarab wanadhan hapo anamponda Makonda
Anachojaribu ni kuonesha kuwa yeye Hana upande yuko neutral ndio sababu hata ‘Makonda aliwahi kumkosoa dhidi ya freeman Mbowe’
Hakuna la zaid analofanya
Anayejiita Mwanaharakati huru lakini huwezi kamwe kumsikia kwamba kaita press akakemea kutekwa na kupotea kwa Watu.
Mwanaharakati pekee anayeweza kukashifu Watu hata wenye nyadhfa na heshima kwenye jamii kwa uhuru na wala asiwe na hofu ya kukutwa na yaliyowakuta kina Sanane, Nondo n.k...labda ndio anachomaanisha kwa kujiita 'Mwanaharakati huru'
Nimeshindwa hata kuangalia hiyo video you tube maana naona nitapoteza mb zangu bute tu.
Ni usanii tu hapa.