Naona msiba akijiombea msamaha msamaha kwa mapungufu yake.Musiba kumbe anaweza kuwa na akili
Naona msiba akijiombea msamaha msamaha kwa mapungufu yake.Musiba kumbe anaweza kuwa na akili
Unaweza UKAKWEPA KODI lakini huwezi mkwepa Mungu. Mungu anaweza kila kitu.Makonda hawezi kutubu dhambi zake na hakuna wa kumwajibisha
Kwa kazi aliyokabidhiwa Makonda na familia ya Magufuli (Namaanisha kazi ya kifamilia) si rahisi Magufuli kchukulia hatua. Labda kazi hiyo akabidhiwe mwingine na ndo utakuwa mwisho wa Makonda iwapo Magufuli hatajali kuvujishwa kwa siri za familia.Makonda ana kiburi cha uzima.
Yeye anaamini Magogoni ndio Mbinguni.
Kitenda mimbaYupi hudeka sana kati ya kitinda mimba na mzaliwa wa kwanza?
Kitenda mimba
Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.Huyu ndiye kitinda mimba mpendwa wa faza hausi wetu
Kisha atakuwa faza hausi wetu mara baada ya faza hausi kuwa babu hausiHuyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Hivi tunawezaje kuviacha vichwa vyenye akili kama Membe, Lissu, Zitto, January na wengineo na kumruhusu Bashite kuwa mtukufu?Kisha atakuwa faza hausi wetu mara baada ya faza hausi kuwa babu hausi
Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Ni Upepo Tu Huu Utapita, By JM KikweteMbeleko hii labda ipotee na mwenye mbeleko bila hivyo mtasubiri sana. Bashite ni unreachable.
Haitakaa itokee, na hii ni kwa ajili ya kuficha madhambi yetu tutalazimika kuweka wale tulowabeba ili watufadhiriHivi tunawezaje kuviacha vichwa vyenye akili kama Membe, Lissu, Zitto, January na wengineo na kumtuhusu Bashite kuwa mtukufu?
Hana lolote ila alitaka watu wamwamini kuwa yeye ni neutral na objective. Anajaribu kutuzubaisha kuwa eti hatumiki kuchafua watu, Bali ni mchambuzi huruMusiba sometimes kumbe zimo