Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,128
- 4,028
Doctorate (P.h.d)Mengi alikuwa Daktari?
Doctorate (P.h.d)Mengi alikuwa Daktari?
niliwahi kusikia sehemu kuwa musiba na makonda huwa hawaivi chungu kimoja. wanaishi kwa kuviziana.
kwa tukio hili la musiba nimeanza kuamini kile nilichokisikia. ila fresh tu, acha washughulikiane wao kwa wao.
Alisema wanajuana toka UVCCM..sikiliza hapo nimeweka video clip.
..Musiba anadai ni mtu wa karibu sana wa Makonda.
Ni kama ana akili Hivi lakini hana akiliMusiba kumbe anaweza kuwa na akili
Wote na baba yake ndumba ndo zinawapa ujeuri.....hiv unafikir wanapata wap ujasir wa kufanya wanayofanye kwa ujeur mkubwaNani hamjui Makonda kuwa in mtukutu mahali popote ambako Rais mwenyewe hayupo? Yeye binadamu pekee anayemuheshimu ni rais Magufuli tuu nchi hii. Kila mtu anajua hilo na raisi anajua hilo na hawezi kumfanya lolote kwa sababu wanazozijua wote wawili tuu.
Huyo kijana alipoitwa madhabahuni (ambapo hata kama yeye hapa heshimu lakini viongozi wake wanaheshimu) angeweza hata kuamua kujisaidia pale na hangejutia wala hakuna wa kumuwajibisha.
Sababu za kuwa hawezi kuwajibishwa na mteule kwa LOLOTE kwa sasa hazijulikani lakini kuna siku zitajulikana tuu
OhoooBashite ana kiburi cha tako, akiliona tako lilivyo kuuuubwa anaamini ana maisha marefu sana,
Kuna MTU alikuwa na tako kama Agness Masogange??? Yupo wapi SASA??
Tako lililoumuka lisikupe jeuri ukajiona Una uhai wa kudumu!
Ila Wameru wamewahi kunya madhabauni enzi za 'vita' vya Dayosisi ya Meru !Nani hamjui Makonda kuwa in mtukutu mahali popote ambako Rais mwenyewe hayupo? Yeye binadamu pekee anayemuheshimu ni rais Magufuli tuu nchi hii. Kila mtu anajua hilo na raisi anajua hilo na hawezi kumfanya lolote kwa sababu wanazozijua wote wawili tuu.
Huyo kijana alipoitwa madhabahuni (ambapo hata kama yeye hapa heshimu lakini viongozi wake wanaheshimu) angeweza hata kuamua kujisaidia pale na hangejutia wala hakuna wa kumuwajibisha.
Sababu za kuwa hawezi kuwajibishwa na mteule kwa LOLOTE kwa sasa hazijulikani lakini kuna siku zitajulikana tuu