Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Watu wa kanda ya ziwa mnisamehe hapa nawatoa WAHAYA kwa maana ukiongelea kanda ya ziwa Wahaya enzi hizo nao kiasili waliishi kama wachaga na walikuwa na maendeleo makubwa kupitia ushirika kama uliokuwepo enzi hizo Kilikanjaro.

Je, wanajamvi mmesoma I Can I Will I Must?Ukisoma kitabu hiki utagundua kuwa Nyerere alijenga chuki na Kilimanjaro na kagera kwa sababu matajiri.

Wakubwa walikuwa huko enzi hizo,watu hawa walijua thamani ya hela hata kbla ya uhuru, ndio maana nyerere chini ya kauli yake alipinga hawa jamaa kuwa watawala wa nchi hii.

Kimsingi hiyo kauli najua itakuja kufutwa kwani haina nguvu hata kidgo.

Je, kauli ya Makonda ni mzimu wa Nyerere dhidi ya ubaguzi wake dhidi ya wachaga?
 
maneno haya yanawaumiza sana " Rais hawezi kutoka kaskazini". ni dhambi gani mbaya mliyoshiriki enyi watu wa kaskazini? Nauliza tu, maana mimi bado ni mdogo nipo katika ukuaji wa kujua ya zamani.
 
Lakini tofauti ya Nyerere na Makonda licha ya kuwepo kwenyr vyeti i.e mmoja alikua navyo na mwingine hana, kitu kingine ni busara na hekima Nyerere alikua navyo lakini huyu mwingine inabidi tutafute kwa tochi
 
maneno haya yanawaumiza sana " Rais hawezi kutoka kaskazini". ni dhambi gani mbaya mliyoshiriki enyi watu wa kaskazini? Nauliza tu, maana mimi bado ni mdogo nipo katika ukuaji wa kujua ya zamani.

..hizo ni propaganda tu kuwachafua ndugu zetu wa kaskazini kuwa hawana uzalendo au hawaaminiki.

..nchi hii ilipovamiwa na Iddi Amini, kamanda aliyepewa jukumu la ku-organize jeshi letu, kuongoza mipango na mapigano ya kukomboa ardhi ya Tz, alikuwa ni mzaliwa wa kaskazini.

..tulipoingia vitani Uganda, kamanda aliyeongoza kikosi kilichokamata mji wa Kampala na kupelekea serekali ya Iddi Amini kuanguka alikuwa ni mzaliwa wa kaskazini. Tena askari huyo ndiye aliyekuwa in-charge Kampala mpaka pale serekali ya mpito ilipoapishwa.

..Nakushauri ukasome historia ya nchi yetu, na haswa vita vya Kagera, utakutana na habari hii niliyokueleza hapo juu.

..mifano iko mingi kwa ndugu zetu wa kaskazini kuitumikia nchi yao kwa rekodi iliyotukuka.

..Lakini wapo waTz wengi toka kila pembe ya nchi yetu ambao wameitumikia nchi yetu kwa uaminifu na uadilifu na wanaendelea kufanya hivyo.
 
Rais mchaga atakuja kipatina tu piga uwa,,kwa fact kuu 3.

1)mchaga anazidi kujiimarisha sana kwenye nyanja ya elimu,

2)mchaga anazidi kujiimarisha kwenye uchumi,

3)wachaga wanakatabia kazuuri ka kuwa na umoja,,yani wanatabia ya kujuana na kusaidiana,,
mchaga mmoja akipata fursa ni kama wamepata wote,
 
Kama Kaskazini imeshatoa mawaziri wakuu watatu na naibu waziri mkuu mmoja, na na pia mawaziri wa fedha wawili kutoa urais ni suala la muda tuu...
maneno haya yanawaumiza sana " Rais hawezi kutoka kaskazini". ni dhambi gani mbaya mliyoshiriki enyi watu wa kaskazini? Nauliza tu, maana mimi bado ni mdogo nipo katika ukuaji wa kujua ya zamani.
 
..hizo ni propaganda tu kuwachafua ndugu zetu wa kaskazini kuwa hawana uzalendo au hawaaminiki.

..nchi hii ilipovamiwa na Iddi Amini, kamanda aliyepewa jukumu la ku-organize jeshi letu, kuongoza mipango na mapigano ya kukomboa ardhi ya Tz, alikuwa ni mzaliwa wa kaskazini.

..tulipoingia vitani Uganda, kamanda aliyeongoza kikosi kilichokamata mji wa Kampala na kupelekea serekali ya Iddi Amini kuanguka alikuwa ni mzaliwa wa kaskazini. Tena askari huyo ndiye aliyekuwa in-charge Kampala mpaka pale serekali ya mpito ilipoapishwa.

..Nakushauri ukasome historia ya nchi yetu, na haswa vita vya Kagera, utakutana na habari hii niliyokueleza hapo juu.

..mifano iko mingi kwa ndugu zetu wa kaskazini kuitumikia nchi yao kwa rekodi iliyotukuka.

..Lakini wapo waTz wengi toka kila pembe ya nchi yetu ambao wameitumikia nchi yetu kwa uaminifu na uadilifu na wanaendelea kufanya hivyo.
Vyuo vingi mfano SUA, UDSM hata Mzumbe University, watu wa Kaskazini, hasa Wachagga ndo walisimamia, kuanzisha programu za masomo, kufundisha idadi kubwa ya watu ambao ndo wanawabeza leo! Mfano' Open University ya leo, iliasisiwa mwanzoni kabisa na Prof. Mmari ( Mchagga) ambaye ndiye pia aliyesimamia SUA enzi inajitenga UDSM.
Waziri wa Elimu enzi hizo Mh. Elinawinga ( Mchagga), mambo aliyobuni na kufanya yanakumbukwa hadi leo. Nielewke, hawa jamaa ni model kwa mafanikio ktk maisha yangu.
Siku Raisi atatoka pande hiyo, naamini ndo mwanzo wa Tz mpya
 
ukweli mtupu,
Vyuo vingi mfano SUA, UDSM hata Mzumbe University, watu wa Kaskazini, hasa Wachagga ndo walisimamia, kuanzisha programu za masomo, kufundisha idadi kubwa ya watu ambao ndo wanawabeza leo! Mfano' Open University ya leo, iliasisiwa mwanzoni kabisa na Prof. Mmari ( Mchagga) ambaye ndiye pia aliyesimamia SUA enzi inajitenga UDSM.
Waziri wa Elimu enzi hizo Mh. Elinawinga ( Mchagga), mambo aliyobuni na kufanya yanakumbukwa hadi leo. Nielewke, hawa jamaa ni model kwa mafanikio ktk maisha yangu.
Siku Raisi atatoka pande hiyo, naamini ndo mwanzo wa Tz mpya
 
Rais mchaga atakuja kipatina tu piga uwa,,kwa fact kuu 3.

1)mchaga anazidi kujiimarisha sana kwenye nyanja ya elimu,

2)mchaga anazidi kujiimarisha kwenye uchumi,

3)wachaga wanakatabia kazuuri ka kuwa na umoja,,yani wanatabia ya kujuana na kusaidiana,,
mchaga mmoja akipata fursa ni kama wamepata wote,
Yote uliyoyasema ni ya ukweli mtupu, na ndiyo yanayoleta mashaka. Wachaga wana umoja wa kusaidiana kwa kila kitu hata kwenye mabaya.

Ni watu ninao wapenda sana kwa juhudi zao, hata ukiona mtanzania wa mikoa mingine akioa mwanamke wa kichaga anakuwa na maendeleo.
 
Na haya maduka ya vyakula yanayomilikiwa na wachaga nchi nzima, wadada wanatotoleshwa sana!!

Siku ya siku mnajiona mmemkwepa mchaga kumbe mmeingia wazima wazima!!
 
Yote uliyoyasema ni ya ukweli mtupu, na ndiyo yanayoleta mashaka. Wachaga wana umoja wa kusaidiana kwa kila kitu hata kwenye mabaya.

Ni watu ninao wapenda sana kwa juhudi zao, hata ukiona mtanzania wa mikoa mingine akioa mwanamke wa kichaga anakuwa na maendeleo.
Baada ya miaka 20 ijayo kuna uwezekano hakutakuwa na mchagga pure. Tunawaoa sana dada zao hivyo uchagga utaisha. Hasa sisi wa kanda ya ziwa tumewaoa sana. Hivyo hata akija kuchukua Urais hata kuwa mchagga bali Msukuma, Mkurya au kabila jingine. Uchagga tunataka tuufute kabisa hapa nchini la sivyo watatusumbua. NYERERE aliiona mbali.
 
Watu wa kanda ya ziwa mnisamehe hapa nawatoa WAHAYA kwa maana ukiongelea kanda ya ziwa Wahaya enzi hizo nao kiasili waliishi kama wachaga na walikuwa na maendeleo makubwa kupitia ushirika kama uliokuwepo enzi hizo Kilikanjaro.

Je, wanajamvi mmesoma I Can I Will I Must?Ukisoma kitabu hiki utagundua kuwa Nyerere alijenga chuki na Kilimanjaro na kagera kwa sababu matajiri.

Wakubwa walikuwa huko enzi hizo,watu hawa walijua thamani ya hela hata kbla ya uhuru, ndio maana nyerere chini ya kauli yake alipinga hawa jamaa kuwa watawala wa nchi hii.

Kimsingi hiyo kauli najua itakuja kufutwa kwani haina nguvu hata kidgo.

Je, kauli ya Makonda ni mzimu wa Nyerere dhidi ya ubaguzi wake dhidi ya wachaga?
Yaani unalinganisha kauli za kubwabwaja za Makonda na fikra za Mwalimu?
Hivi huyo mbulula ndio wakumwandikia mada and make comparison na Nyerere?
Wanachoweza kufanana hao watu no jina tuu kuwa "hawa waliumbwa binadamu" basi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom