Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Makonda hawezi kutubu dhambi zake na hakuna wa kumwajibisha

Jamani kuna kitu mnasahau, mteule alishasema anateua vichaa kama yeye, sasa atamtumbuaje kama kichaa kimepanda akiwa madhabahuni?yeye hufurahi kuona kichaa wake katenda kiukichaa.
 
Wala huyu asikutishe katu. Tumewaona wengi tuu dunia ya Tanzania. Umesahau wakina Ridhiwani walikuwa wanaitwa THE Prince? Umesahau akina Nape etc..walipokuwa kwenye peak? Where are they now?

CHA KUTAMBUA NI KWAMBA KILA KITU KINA MAJIRA! Kuna wakati wa Mvua. Kuna wakati wa Jua.

Let Bashite enjoy his fame at the moment. Mda ukifika atarudi alipokuwa. Hao akina Le Mutuz si kwamba wana urafiki na Bashite. Wao wanataka access na wenye madaraka with associated benefits. Mengine ni ubatili na unafiki.
Fact
 
wengi wamemtabiria kuwa mbunge (jimbo fulanii iviii..) na waziri ajeeee....
 
Kiburi kina laana. Kina gharama zake kwa professionals hata wana siasa. Kiburi kina bei ambayo kila mtu anayekifanya atalipia
 
Saiz hata Kama BAVICHA uliwahi kuwaudhi na unahitaji kuondoa chukizo hilo sema MAKONDA alikosea kumsifia Mengi ndani ya wachagga wenzake
 
Musiba kumbe anaweza kuwa na akili
Yes, hasa akiwa kwenye siku zake...huyu na Makonda wote ni zero brain, hujawahi kumsikia Makonda anaita wajane wote, halafu anawadanganya kuwasaidia, baada ya hapo...ziiii
 
Mwacheni kijana achape kazi...
Yeye ni mfano kwa MA RC wengine.
Msimdharau wala kumbeza "... kwani hata wakubwa wenu wanamjua!!"
 
Kuna ugonjwa anaugua Makonda

Ugonjwa huo huo anaugua Mkulu

Ugonjwa huo huo anaugua Ndugai

Ugonjwa huo huo wanaambukizana sana viongozi wa awamu hii.

Ni ugonjwa hatari sana.Je ugonjwa huu hauna tiba?

Kama ugonjwa huu una tiba nafikiri ni vyema wakatibiwa vinginevyo soon humu ndani kutajaa
 
Ukiachana na ulinzi wa majeshi pale nyumba nyeupe, Kuna ulinzi mwingine wa kikalumanzila ambao unaratibiwa na super BASHITE. Akiondoa ulinzi huo tu......msiba

Ataachaje kujiamini?
 
Mkulu namuonea huruma tu.

Nimefikiria kama wewe kwa yaliyotokea wiki hii.

He's far from an angel but on a personal level, imagine being held hostage by another human being regardless of the reason? Worse off, you are the most powerful man on the land.
 
Nimesikia kijana ni mtaalamu, ule u lezi wa WCB aliutumia vyema na Harmonise amewapeleka kwa vi gagula vya Kimakonde
Ndiyo kule NGENDE....lakini pia anao wa kwake kutoka GAMBOSH, Hao wanamtii yeye tu na sio mkulu
 
Baba yake alisema kwakuwa anakamata madawa ya kulevya aachwe afanye atakavyo na aendelee kuchapa kaZi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom