Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Umenena. Harusi nyingi hivi sass siyo za Wachaga kwa wachaga bali wanaolewa na kabila nyengine!
Wanawake wa kichaga wengi ni wasomi pia wanaolewa na wasomi wenzao,
Product zao lazima zikamate usukani wa mother TZ.
 
Wanawake wa kichaga wengi ni wasomi pia wanaolewa na wasomi wenzao,
Product zao lazima zikamate usukani wa mother TZ.
INGEKUWA UONGOZI HASA HUO URAIS UNAPATIKANA KWA KUFANYA MITIHANI HAPO KIDOGO MNGEFIKIRIWA. LAKINI KWENYE SANDUKU LA KURA HATA BILA UCHAKACHUAJI HAKUNA WATANZANIA WENGI WATAWAPA KURA NJE YA WACHAGA WENZENU AMBAO HATA HIVYO IDADI YENU HAITOSHI.
 
Lakini tofauti ya Nyerere na Makonda licha ya kuwepo kwenyr vyeti i.e mmoja alikua navyo na mwingine hana, kitu kingine ni busara na hekima Nyerere alikua navyo lakini huyu mwingine inabidi tutafute kwa tochi
Unaweza kutafuta kitu ambacho hakipo?
 
Tuache mambo ya hovyo ya ukabila katika jukwaa hili. TANZANIA ya leo ni ya mchanganyiko wa makabila na dini. Hao viongozi wote huko juu wameoana wa makabila tofauti.

Tunajenga taifa la watanzania na sio la makabila. Mtu yeyote atakayebainika ndani ya utumishi wa umma anayeleta ukabila ashughulikiwe mara moja.
 
Lakini tofauti ya Nyerere na Makonda licha ya kuwepo kwenyr vyeti i.e mmoja alikua navyo na mwingine hana, kitu kingine ni busara na hekima Nyerere alikua navyo lakini huyu mwingine inabidi tutafute kwa tochi
Kumbe makonda anacho ila ili kionekane inabd torch itumike
 
Vyuo vingi mfano SUA, UDSM hata Mzumbe University, watu wa Kaskazini, hasa Wachagga ndo walisimamia, kuanzisha programu za masomo, kufundisha idadi kubwa ya watu ambao ndo wanawabeza leo! Mfano' Open University ya leo, iliasisiwa mwanzoni kabisa na Prof. Mmari ( Mchagga) ambaye ndiye pia aliyesimamia SUA enzi inajitenga UDSM.
Waziri wa Elimu enzi hizo Mh. Elinawinga ( Mchagga), mambo aliyobuni na kufanya yanakumbukwa hadi leo. Nielewke, hawa jamaa ni model kwa mafanikio ktk maisha yangu.
Siku Raisi atatoka pande hiyo, naamini ndo mwanzo wa Tz mpya
Haswaa wachaga wana historique kubwa Sana ktk hii nchi
 
Baada ya miaka 20 ijayo kuna uwezekano hakutakuwa na mchagga pure. Tunawaoa sana dada zao hivyo uchagga utaisha. Hasa sisi wa kanda ya ziwa tumewaoa sana. Hivyo hata akija kuchukua Urais hata kuwa mchagga bali Msukuma, Mkurya au kabila jingine. Uchagga tunataka tuufute kabisa hapa nchini la sivyo watatusumbua. NYERERE aliiona mbali.
Kwahiyo ukioa mchaga ndio umeufuta uchaga?
Kumbuka wachaga Ni kabila la 3 kwa watu wengi ukiondoa wasukuma na wanyamwez
Wachaga wapo dunia nzima achilia mbali kila mkoa
 
Mkiwapa urais watu kwa ulabila mtakoma, kwani kwenye TRA, bandari, Bot, na sehemu zote wataweka watoto wao na ndugu zao,

Ukabila sio dili jamani
 
tatizo sio Makonda, tatizo ni wachaga tena sio wote, wachaga kwa kawaida ni wahangaikaji sio watu wa maneno kama mleta mada il;a kuna watu wanataka kuutumia uchaga kama njia ya kufanikisha malengo yao ya kisiasa toka zamani wachaga waliaminiwa ndio maana walipata madaraka kwenye sekta nyeti za nchi ila kwa ujinga na ushamba wa watu wachache wanataka kutumia uchaga kutimiza ajenda zao za kisiasa
 
maneno haya yanawaumiza sana " Rais hawezi kutoka kaskazini". ni dhambi gani mbaya mliyoshiriki enyi watu wa kaskazini? Nauliza tu, maana mimi bado ni mdogo nipo katika ukuaji wa kujua ya zamani.
Kwa ufafanuzi tu kwako dogo ni kwamba nyerere aliwahi kuzikwa na chama chake enzi za utawala wa chama cha tanu ya jenga nchi pamoja na ile bendera na picha ya nyerere hapo ndo mwanzo wachuki na wachaga hakuwahi kurudi kilimanjaro tena kwa ziara zake hadi anatoka ikulu miaka yake 23 ya utawala.kwa maana hiyo kilimanjaro toka enzi ni wapinzani pamoja na kuwa serekali ya chama kimoja .
 
Ukifuatilia nyuzi nyingi humu JF zinazosifia mambo ya kikabila, asilimia 90% ni wachaga kujisifia.
Wachaga mnaweza mambo mengi hakuna anaekataa, Sasa kwanini hamjiamini mpaka matangazo kila kona kwenye mitandao?
Pole sana.
Sijui Kuna tatizo gani na Uchaga.
 
Kauli ya Makonda aikuwa na malice zozote sanasana yeye alipeleka utani mahala pasipo na kutumia mfano wa ovyo.

Lakini intentions hazikuwa kuwa kejeli wachagga au dhumumi la kuleta ukabila zaidi ya yeye Makonda kutaka kuchangamsha baraza mahala sipo na mfano sio.

Hata kama mtu umpendi usimzushie vitu
 
Watu wa kanda ya ziwa mnisamehe hapa nawatoa WAHAYA kwa maana ukiongelea kanda ya ziwa Wahaya enzi hizo nao kiasili waliishi kama wachaga na walikuwa na maendeleo makubwa kupitia ushirika kama uliokuwepo enzi hizo Kilikanjaro.

Je, wanajamvi mmesoma I Can I Will I Must?Ukisoma kitabu hiki utagundua kuwa Nyerere alijenga chuki na Kilimanjaro na kagera kwa sababu matajiri.

Wakubwa walikuwa huko enzi hizo,watu hawa walijua thamani ya hela hata kbla ya uhuru, ndio maana nyerere chini ya kauli yake alipinga hawa jamaa kuwa watawala wa nchi hii.

Kimsingi hiyo kauli najua itakuja kufutwa kwani haina nguvu hata kidgo.

Je, kauli ya Makonda ni mzimu wa Nyerere dhidi ya ubaguzi wake dhidi ya wachaga?
Sio maendeleo! Ubinafsi na ubaguzi uliokithiri! Na hii imekuwa ni tabia ya wachaga kuanzia mashuleni mpaka kwenye maisha ya kawaida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom