Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Huyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.

Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.

Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.

Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.

Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
KISHADA, wivu wa kike at best
 
Hata ile vita ya madawa ya kulevya mbona miaka yote inapigwa kimya kimya?
utawala huu hata ukijenga mashimo ya choo kwa shule ya msingi siku ya kuyazindua watasema ni historia! haijawahi kutokea , ni raisi wa mfano Africa na ujinga ujinga mwingine wenye kuudhi.... yani kujenga choo nalo ni jambo la kihistoria? vipi kujisaidia nje karne ya 21 kwa wanafunzi wa pr. tena waso na viatuuuuu.
 
Kwa mwenendo wa Makonda pale Kanisani hata Musiba ameshindwa kumtetea.

Mtakumbuka Makonda alikataa kuwaomba radhi Clouds kwa kitendo chake cha kuwavamia.

Hata pale Kanisani ukisikiliza kwa makini utaona kwamba Makonda aligoma hakuomba radhi kwa kauli za kibaguzi alizotoa.

Musiba ameshangazwa na jinsi Makonda alivyokosa unyenyekevu akiwa madhabahudi, huku akishuhudiwa na Waziri Mkuu, Katibu Mkuu wa chama, na viongozi wengine wa kidini na kijamii.

[/QHatayeye tabia nihiyohiyo
 
Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Kwa kweli kama hiyo ndio mipango basi twafa anaweza kutuambia tulale chini atukanyage apite
 
Usiseme wenu.. usininumuishe kwenye makundi ya watu maana sina undugu na kundi lolote lile.
Nimecomment mm kama mm.
Msiba mara nyingi amekuwa aiandika habari za uzushi.. na hata pale alipoitwa akadhibitishe bado hakutokea.
Ni mwanahabari pekee nchini ambae anaweza kuandika habari za kichochez na asigiswe kabisa..
Waandike wengine sasa.

Sina uhasama na aliyemtaja.. ila ujue hakuna malaika dunia hii. Mtu unapoambiwa ukweli sio kwamba unachukiwa.. hapana. Ili ujiweke sawa ktk nafasi uliyonayo
Musiba siku zote yuko vzr sema leo unasema anakili kwasababu anamponda mbaya wenu

wewe unajuaje haya unayosema?
 
Bashite si chochote asiwepo mtu yeyote wa kumgwaya, ni kwamba wenye hekima na busara wameamua kutomnyooshea kidore.
 
Attachments

  • fb_img_1554306778021-jpeg.1062099.png
    fb_img_1554306778021-jpeg.1062099.png
    277.9 KB · Views: 18
Huyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.

Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.

Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.

Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.

Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
Acha wivu! Kijana anapiga kazi mwache aendelee na kazi ya kujenga nchi.
 
Mzee atachomekea kagombee ubunge atajipeleka uko uko ndio mzee anamlakichwa subilini mtaona
 
ningewaona wa maana Kama mngekemea lugha chafu za akina mdude alizowahi kuzitoa dhidi ya rais wetu na serikali kuliko kuhangaika na tafsiri ya MAKONDA na mambo mazuri anayoyafanya
 
Hawezi kugombea ubunge Kawe, labda huko kwao usukumani. Kama anataka kuvuliwa nguop ajaribu.
Ila na sisi upinzani tuwe tunajielewa basi, hivi kwa mwenendo wa chaguzi za marudio zilizopita kuna haja ya kutumia digrii ngapi kuelewa nguvu ya udhalimu inayutumika kuwapitisha hao mashetani kwa nguvu

Mdee anapita kwa kura nyingi za wanachi ila akisimamishwa Bashite ndo amatawazwa kuwa mbunge.

Bila misingi ya Katiba mpya na mguvu nje ya box hapo tutaendelea kujifariji na maneno kama yako.
 
Huyo hawezi kugombea ubunge, labda kama hana akili kabisa ndiyo anaweza kufanya hivyo. Kuna mtu dizaini ya bashite miaka ya nyuma akiitwa Kihiyo aligombea Temeke, waulize waliokuwepo kilichompata.
 
Tunapambana na viashiria vya kibaguzi lkn thread na comments zote ni za kibaguzi dhidi ya Gambosh siwaelewi Watu wa humu JF??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom