Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM?
Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani?
Umepewa bilioni mbili kawakopeshe wachekeshaji wenzako
Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani?
Umepewa bilioni mbili kawakopeshe wachekeshaji wenzako