mmuni virani
Member
- May 19, 2016
- 43
- 19
Mlijua akienda atapigiwa vigelegele na watoto wa marehemu?kiubinadamu ilikuwa haizekani.
Kwani mkuu wa kaya ni mcba huu tu ambao hajahudhuria?? Mi nafikir hatuna 7b ya kuhusisha kutokuhudhuria kwake na utumbuaji jipu wa kabwe kwa vle atujui alijua na 7b gan iliyomzuia kuhudhuria.. But pia mi kumlaum makonda kwa kuhudhuria mcbani c harusini, nahic hatumtendei haki hata kdg... Kama jweli cc ni waungwana na tunafikiria vzuri bla ya kua na chembe ya biasness tunatakiwa tumpongeze makonda kwa kuonyesha ustaarabNa ndio maana mkuu wa Kaya hajaenda kamtuma waziri wakati yeye huwa anaenda sana misibani
Mkuu wa mkoa nani bwana! Acha kujipendekezaNI Utovu wa nidhamu na kiburi cha kijinga......kutosalimiana na Mkuu waa mkoa ni kukosa aadabu
hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?
tushawazoea wazee wa kucriticise kila kitusijaongelea issue ya marehemu alikuwaje...however he was...yule ana familia yake ambayo wote wanamthamini kama mzazi na ndugu yao...however he was
Msibani ni sehemu familia inapata fursa ya kumwomboleza ndugu yao
Sasa limtu linajibeba tu linaenda kama vile pale pia ni shughuli ya serikali...Upuuzi na kutotumia common sense
ndio madhala kufikiri mabadiliko huletwa na ufundi wa kuzungusha mikono, wewe ni janga la taifa pendwa Tanzania
ndio madhala kufikiri mabadiliko huletwa na ufundi wa kuzungusha mikono, wewe ni janga la taifa pendwa Tanzania
Hayo ndio magazeti ya kibongo.hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?
No at least amepeleka ujumbe kwamba Makonda aache unafiki na uzandiki.Kwa kumchunia Makonda ndio baba yake atafufuka?
Nikwel hatofufuka ila ni kuonyesha kua una hasira kwa aliyofanya hata ungrkua we ungefanya ivo kwa hasira kwakua imemtokea usie mjua ndo watanzania tulivyo sikushangai we sema ivo yatakukuta sikuKwa kumchunia Makonda ndio baba yake atafufuka?
Common sense is not commonAnajua fika kwenda kwake pale anawaongezea wafiwa maumivu
Kiherehere cha nini kujipeleka...si angeenda mkuu wa wilaya
Huu ni ukosefu wa Ubinadamu
Lile lilikuwa suala la kifamilia....Alitakiwa tu kutumia common sense
Hii picha ilipigwa wakati makonda hajapewa mkono!
Ndio ajifunze sasa kuwa unafiki sio mzuriAHAHAHAH SIO MIAKA..... ITAKUWA MILELE LITAPUNGUZA MAMBO FLANI MWAKE
Hii picha ilipigwa wakati makonda hajapewa mkono!
hahaha kwahiyo alizamia msiba hahahaha this is seriousangalia na body language ya walio jirani naye. ni wazi kabisa alichuniwa. hii tabia ya kuenda kwenye misiba bila kualikwa ni ya Enzi za ujima. ikome.
Common sense ilikuwa ni kwa yeye kutoenda pale.angemuacha Hapi aende tu