Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
"kusoma alama za nyakati" ni somo lisilohitaji PhD ,labda mtu awe mbishi tu
Ujumbe huu huwa huukubali kabisaKwani hujauona ujumbe hapo..au kwa sababu ujumbe umekukera?
Angetumia busara na kutoenda, angetuma mwakilishi kama mwenzake.
Hapa ndiyo ningeona upana wa sheria ya mtandao katika kutafuta mashahidi wa kesi husika. kwani wewe ni shahidi na una ushahidi kuwa kabwe alikuwa fisadi kutokana na andiko lako hapo juu. so wahusika fanyeni yenu kumpata shahidi huyuHongera Sana Makonda..... Huyo dada alitaka umsifie baba yake wakati ni mwizi aliyekubuhu..
Namshauri amuombee baba yake mungu ampunguzie adhabu kwa Ufisadi aliotufanyia kuliko kuliko kumnunia Makonda!..
Heri Karipio La Rafiki Kuliko Busu La Mnafiki.
Hongera Makonda
Ndio ajifunze sasa kuwa unafiki sio mzuri
Kwa kumchunia Makonda ndio baba yake atafufuka?
Amini usiamini, familia ya Kabwe ni wastaarabu sana. Kwingineko asingekanyaga hata getini!Mi ningemfukuza kama mbwa
Kweli mkuu,ana bahati sana...watu wangeshika maiki wangesema tunaomba Fulani bin Fulani uondoke hapa.Uwepo wako hautakiwi..Amini usiamini, familia ya Kabwe ni wastaarabu sana. Kwingineko asingekanyaga hata getini!
Marehememu alitendewa haki au alionewa??
Hapana...Lakini just fikiria kibinadamu mzazi wako ndio amefariki alafu anakuja mtu aliyeamua kuonesha chuki za wazi kabisa na mzazi wako...eti anajipendekeza msibani kuwa anajali
Huo ni ujinga na Unafiki
Pia kumbuka watoto wa kabwe pia wana maumivu
Halafu si kuna taarifa iliwekwa hapa kwamba familia ya kabwe haitaki ushiriki wowote wa serikali kwenye mazishi ya ndugu yao, sasa makonda alifata nini?Anajua fika kwenda kwake pale anawaongezea wafiwa maumivu
Kiherehere cha nini kujipeleka...si angeenda mkuu wa wilaya
Huu ni ukosefu wa Ubinadamu
Lile lilikuwa suala la kifamilia....Alitakiwa tu kutumia common sense
Hiyo ni habari kwa sababu familia ilikataa ushiriki was serikali kwenye mazishi ya ndugu yao.hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?
Hapa hatuongelei ufisadi wa Kabwe, kwanza hakuna mahakama iliyothibitisha ufisadi wake.Nashangaa Leo hii Makamanda wanasimama kumtetea Mwizi na Fisadi....
Kwasasa tumuombee tu kwa Mungu ampe adhabu stahk kwa Ufisadi aliotufanyia wana wa adam...
Na hiyo familia waendelee tu "Kula Bata" kutokana na fedha zilizopatikana kwa wizi.