Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,695
Ujumbe kuwa makonda alichuniwa..hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?
Ujumbe kuwa makonda alichuniwa..hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?
yule kiongozi wa kitaifa lazima aende kama mwenyeji wa viongozi wengine hawezi kuacha kwenda wakati mawaziri wanakuja nani angewapokea.Na kwenda kwake kumebadili nini kwa mfano?
Ni ujinga tu wa huyu makonda
Anajua fika kwenda kwake pale anawaongezea wafiwa maumivu
Kiherehere cha nini kujipeleka...si angeenda mkuu wa wilaya
Huu ni ukosefu wa Ubinadamu
Lile lilikuwa suala la kifamilia....Alitakiwa tu kutumia common sense
Unajua mkuu hatukatai yule ndio mwenye mji lakini "kiubinadamu" unaliona liko sawa? Tuache unafiki, na utakuta hapo alisema marehemu alikuwa mwema na mchapa kazi wakati walitamka ni jipu.Yu
yule kiongozi wa kitaifa lazima aende kama mwenyeji wa viongozi wengine hawezi kuacha kwenda wakati mawaziri wanakuja nani angewapokea.
mkuu una umri gani? msiba ni suala la KIFAMILIA sio suala la KIKAZI.We ulijua hataenda? Hizo ni taratibu za kikazi na sio taarabu za viringeni,
hata ungelikuwa ndo muhusika kwa nachokimaanisha hiyo taarifa inastahili kukaa on front page? mbona kuna issues tena seriously za kitaifa na kimataifa? ok huyo binti kakataa mkono babake karudi? muandishi analenga nini juu ya taarifa hii katika jamii? think critically before u reply, or are you just learning how to quote?Na mimi nina wasiwasi na uelewa wako kwani mhariri ndiye kamchunia Makonda au mhariri kaichora picha, we vipi.
Viroba vinakupelekesha.Nilikuwa sijasoma gazeti kumbe ni tanzania daima manina kabisa shitiiiiii......
AHAHAHAH SIO MIAKA..... ITAKUWA MILELE LITAPUNGUZA MAMBO FLANI MWAKEHili tukio litachukua miaka kadhaa kufutika kwenye akili ya Makonda......
KWA HIYO KWENDA KWA MAKONDAKTA KULE MSIBANI KUMEBATILISHA UFISADI WA KABWE?Wewe ndiyo mjinga kwahiyo wizi wake ulitaka aachwe tu au makonda asingeenda ndiyo angefufuka huyo mzee?
ALIENDA KUFANYA NN IN THE FIRST PLACE ANGEENDELEA NA MAMBO MENGINE TU KIROHO SAFIKWA HIYO KWENDA KWA MAKONDA KULE MSIBANI KUMEBATILISHA UFISADI WA KABWE?
Masuala ya kiofisi watu wanayachukulia personal, sasa walitaka ndugu yao asichukuliwe hatua za kinidhamu pindi anapokosea kazini? Kuna watu wanagapi wameumizwa kwa sababu ya mapungufu aliyoyafanya marehemu? Yatupasa tufike mahali tutofautishe mambo ya kikazi na mambo ya kibanfsi. Kujenga uswahiba kwenye mambo ya kazi ndiko kunakoliumiza taifa sasa hivi.
Team Walevi punguza viroba habari ndiyo hiyo Makonda anazidi kuongeza viroja baada ya kile cha kumpiga mzee Warioba.Nilikuwa sijasoma gazeti kumbe ni tanzania daima manina kabisa shitiiiiii......
hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?