Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,138
kwani m
kwani makonda haruhusiwi kuaga yeye na ulitaka afanyeje kama wewe ukigundua mtu ana fanya wizi umuache au ulitaka iweje embu fafanua
Kwa hivo mathalan wewe kijana wa mtaani kwako akikiuibia (hata kama kwa kusingiziwa) kisha ukaamua ukamchoma moto na ndugu zake wakiona (huku wakiamini umemwonea) utaenda kuhani msibani?Watakupokea kweli?