Mpiga Ulimi
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 704
- 337
Haya na zungusha mikono. ..umefurahi eeeh?soma tena ulichokiandika kisha zungusha mikono.
Basi na wewe piga push ups! !!!!!
Haya na zungusha mikono. ..umefurahi eeeh?soma tena ulichokiandika kisha zungusha mikono.
ukimaliza kataa ulofaHaya na zungusha mikono. ..umefurahi eeeh?
Hapana siwezi..kukata a ulofa..na ukataa...upumbavu...tuuuukimaliza kataa ulofa
Hivi wakati Makonda akimchongea Kabwe kwa rais alitumia njia gani bora?Sasa Mwanamke kama huyo ukioa si utahama hiyo nyumba, hapo kwenye msiba anapewa mkono wa pole anagoma huku akiendelea kuchezea simu, hiyo ni dharau kubwa sana na hakuna maana nyingine kwa maana kama ni protest kuna namna bora zaidi ya kuifanya hata angetumia muda wa kusoma risala
Ili linunuliwe sana!!!!hili gazeti lina taarifa za umbea sana, sasa hii nayo ni habari ya kuweka front page ili ipeleke ujumbe gani kwa jamii?
common sense, "common sense is common, but not everybody has it"Anajua fika kwenda kwake pale anawaongezea wafiwa maumivu
Kiherehere cha nini kujipeleka...si angeenda mkuu wa wilaya
Huu ni ukosefu wa Ubinadamu
Lile lilikuwa suala la kifamilia....Alitakiwa tu kutumia common sense
Alikuwa anatoa sadaka kanisanikwani marehemu aliwahi kufanya ubinadamu? nikumbushe...alikosea angejiunga CHADEMA mgemsafisha fasta.
Mkuu, ni rahisi kutoa na mawazo ya namna yako but vaa viatu vyake vya ukuu wa mkoa halafu upime uone kama angefanya hivyo angefikiriwaje na jamii!hakukuwa na ulazima wa makonda kwenda pale
Hapa issue sio kuhusu wizi wa marehemu...hapa ni kuhusu hisia za wafiwa...they deserved respect
Uuuuuhuuuuu! Jibu kalii!sitazungusa mikono...nitatokea kwenye dirisha la gari alafu napiga push up
ushauli = ushauri.naona umeelewa sasa ahsante kwa kufuata ushauli
MkonoUsingempa nini?