Habari zenu!
Kwa muda sasa nimeka nikagundua humu JF kuna tabia za kuigana sana.kuna hii biashara ya mtandao ya forever living kila ikitajwa humu imekuwa ikirushiwa makombora with a lot of negativity.initially Ilikuwa inatangazwa sana ila naona kwa trend hata wahusika nayo wakakata tamaa kuileta humu maana utakuta kejeli na majungu nayo.nikajiuliza sana.
siku nilipata safari nje ya nchi katika kushangaa shangaa na kusaka company nkakutana na dada mmoja mtanzania nikafurahi sana.kuja Kudadisi kumbe alikuwa kwenye vacation na binti zake wawili ndo hadi kuja kuongelea forever akisema alijiunga mwaka juzi tu na inamlipa mil 3 sasa akasave ili aje asafiri na wanae kutalii nje ndoto iliyotimia december mwaka jana.
Nikamuuliza mbona forever inasemekana mafanikio ni ukijoin mwanzo tu? Tuliongea kwa kirefu akanihadithia kuwa ni sekretari tu analipwa laki 6 tu na ni mjane.na hakudhani angeweza kuimudu familia mwenyewe.Nilivyorudi nikaamua kuifanyia research hii kampuni nikaja gundua kuna kampuni nyingi sana za network marketing zimeingia tanzania.pia nikagundua forever is just a legit company kama nyingine nyingi na mafanikio ni juhudi
binafsi.hbinafsi.hakuna cha kujiunga mwanzo wala mwisho.watu wameanza kuiponda siku nyingi ila ajabu bado watu wanajiunga na wanafanikiwa.
nikagundua watanzania wengi ni wavivu na ni werevu wa kuongea sio kufanya.Mtu atataka aambiwe ajira zimetangazwa apeleke vyeti au ujasiriamali wa kuzalisha hela fasta.truth remains hakuna kazi rahisi.kila kazi inataka toiling.tusiwe wepesi wa kudissapoint opportunity za watu pasipo kujua undani wake.if it didn't work out for you, to someone else ndo inamsomeshea watoto shule IST where u can't even afford.
Mwingine kilimo kilimshinda akaweza forever au lsn au world ventures etc
Na kwa members wa forever,stand to what you believe inin.usiogope kutangaza unachofanya kisa unaogopa majungu ya JF.hamna haja ya kutangaza opportunity afu husemi ni nini unaacha namba utafutwe privately.hata kama ndo kwanza umeanza, be bold.network marketing is just a good businesses. Imeshakubalika huko first world.mpaka watanzania waikubalI ni miaka ijayo na nyinyi ndo mtaonekana legends who dared to try.
kwa nini uonee aibu your dreams? Nyinyi ndo mnafanya biashara idharaulike humu.njoo JF sema unafanya networking na tangaza the product.ielezee in details.wengine humu wanaponda ila hawaijui in reality.na tanzania bado inalia ajira.
To the lady who shared the business with me in Dubai asante sana. Umeniondoa kwenye kundi la wazembe to a group of few executers.ntajoin na I swear ntarudI kutoa mrmrejesho.na ntafanikiwa tu..afu niwaone waongeaji maarufu humu!
Loh!!