Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

Hivi hata definition ya pyramid scheme waijua ndugu? Nasikitika u miongoni wa watanzania wale wale nnowasema.read books ndugu and do research.have basis on everything you speak.uspeak.utafika mbali sana.
Na wewe anza kufikiri kwa makini utafika mbali sana. Hapo unapiga makitaimu tu kupunguza makali ya njaa. Kwa huo mtazamo you will never get to financial freedom. But you will only get financial security to buy time.
 
Hivi hata definition ya pyramid scheme waijua ndugu? Nasikitika u miongoni wa watanzania wale wale nnowasema.read books ndugu and do research.have basis on everything you speak.uspeak.utafika mbali sana.

What is the science behind hii Forever scheme?
 
Kinachonikatisha tamaa toka nianze kusikia hii biashara katika ndugu wote na marafiki waliojoin ni mmoja ndo maisha yake yanaonekana napo sijui kuwa ni hela zake za kustaafu au ni forever.The rest hali ni ngumu mno
 
Tatizo kila mtu anayekushawishi yeye mwenyewe hajafanikiwa anaongelea mafanikio ya wengine tu,halafu kibongo bongo biashara inayolipa huwa haina haja ya promo watu huwa wanainusa hata kabla haijajitangaza
 
Wanaofeli ni wengi kuliko wanaofanikiwa katika biashara.

Kweli kabisa mkuu. Ndo m aana nikatoa mfano wa biashara ya kawaida na nikalinganisha na DECI. Kwa biashara ya kawaida chanchel za kufanikiwa ninaongezeka kutoka na mara unavyoribu.

Hii inamaanoisha kwenye biashara ya kawaida inkuwa kama conditional probaility ambayo failure ina approach zero kama mtu anaendelea kujaribu baada kifail attempt. Lakini kwa hawa jamaa wa DECI probability ipo constant yaan 0.95 chances of failing hata kama ukijaribu mara kibaoo:becky:.
 
Tatizo kila mtu anayekushawishi yeye mwenyewe hajafanikiwa anaongelea mafanikio ya wengine tu,halafu kibongo bongo biashara inayolipa huwa haina haja ya promo watu huwa wanainusa hata kabla haijajitangaza
ha ha ha hapo umemaliza mkuuu:becky:. Harudi tena huiyo mzushi.
 
kiuhalisia hizi biashara hazina tofauti na pyramid schemes. wameweka products za kuuza ili kuficha uhalisia wake. ni aibu sana kwa msomi kuingia kwenye huu utapeli.

Honestly, umeongea kama mtu wa kijijini asie na elimu anae uza kura/haki yake kwa kudanganywa na pilau.

Ivi unajua adhabu ya ku run a pyramid scheme dunia ya kwanza ??

What a loss. Daah
 
Kila biashara is not for everyone. Ubaya wa hii ni mtu unaingia with hopes.the 95% ni wanaozamia pasipo kuifahamu kwa undani wake.humu humu JF kuna watu wamerukia kufuga na kuuza mayai ya kware wakaishia kupeperusha ndege warudi msituni. kila biashara si ya kuparamia

Mkuu hapo kwenye ufugaji wa kware umenigusa mi kidogo niingie mkenge kuna jamaa aliingia namuhurumia kaanza na kuuza trei elfu 30 sasa hivi anauza buku 10 na bado yanamdodea kayajaza vyumbani kama kokoto
 
sitaki kuchangia sana huu mjadala, ila my wife ni mwl sikukubaliana na wazo lake la forever mwanzoni (2years ago) kwa sasa pato lake kwa mwezi ni mara tatu ya mshahara wangu! And almost five times her basic salary as a sec school teacher! Na hii biashara anaifanya kama part-time tu!
 
mi nataka kujiunga hata kama wengi wanapinga ila kwa wenye ufahamu nisaidieni kampuni gani ni mzuri kwa tanzania kwa kuzingatia bidhaa na ubora na matokeo yakini
 
Kuna watu hawataki kabisa hata kusikia hii kitu, walipoteza muda wao
 
hiyo biashara ni utapeli mtupu kipindi namaliza chuo jamaa zangu walikuwa deparate na ajira wakajiingiza kwenye hizo biashara walishia kutumia wenyewe bidhaa inshort hiyo ni hidden unemployement kwa tanzania yenye opputunity nyingi si shuguli ya mtu.
 
Mkuu hapo kwenye ufugaji wa kware umenigusa mi kidogo niingie mkenge kuna jamaa aliingia namuhurumia kaanza na kuuza trei elfu 30 sasa hivi anauza buku 10 na bado yanamdodea kayajaza vyumbani kama kokoto
hahaa umenifurahisha sana watu washagundua uongo wa mayai ya kware mzee katumia trey tano sukari bado iko juu kayatupilia mbali ni wiziwiz tu watu hawataki kudanganywa tena.
 
Wangapi wameenda hizo vacation?
Je unajua wamejiunga wangapi katika hio forever?
Kwa kuwaona na kuona vacation zao wanachagua MTU mmoja, je kwa dar yetu tuu wapo kibao, maskini wengine wameingia kujaribu bila kujua kua walaji wachache!
Connection plus watu walio active!
Swali la muhimu! Uliona wapi sehemu yenye hela watu wanaitana?
 
Back
Top Bottom