Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

Kuna video moja ndo hiyo hiyo kila mtu akitaka kukushawishi anakurushia ile video cjui ya jamaa anaitwa Enosy sasa huwa najiuliza hakuna wengine waliofanikiwa.
 
Inshu sio video tuu, jamaa wanakodi hadi ukumbi kwa ajili ya kuelimisha watu na kuwaubudisha dini ya forever, kwangu mimi naona ni kama Dino tuu, kwa sababu ukisikia walivyo mezeshwa, wote no Yale yale
 
bora biashara yangu ya genge wateja wanakuja wenyewe bila kuwafata
 
Tatizo la Watanzania wengi kudanganyika ni rahisi sana.
Hii biashara si biashara.
Kwenye kware napo watu wamedanganywa sana sasa ndo wanajutia mayai yamedoda
 
soma vitabu hivi utapata majibu

1.business school by kiyosaki
21. business of 21th century kiyosaki
3 .mult level market money machine
 
Entrace ni 900,000/=, lakini unachokipata mwezi wa kwanza sio na ulivyo invest, then unabidi ustruggle kuunganisha na kuuza bidhaa zao, sasa huo si upuuzi
Actually hio biashara ni kama wale wauza mabeseni, the more you sale the more you get
And lastly, wanafaidika wachache waliokua juu ya tree, yaani network
Kwa hip ukijiunga Leo hats siku moja humkuti yule wanaomtolea mfano au huwezi kumkuta aliyejiunga mwaka juzi, na mwishowe wataendelea kufaidika wale wa juuu tu, maskini watanzania wengi walio desperate kupata hela, wananyonywa nguvu zao
 
Neno nalo hayo unayosema yanafanana sana. Ila ishu ni kuwa wangapi unaowajua personaly, wamefanikiwa na hii ishu…?
Ukichunguza unaeza usikute. Mimi kuna watu nawafaham walikuwa wanapiga hizi netwrk business na walikuwa brain washed kinoma. Humweli kitu na atakupa nondo zote unazo taka. Kuna mmoja alikuwa foreva mwingine Oriflame.
Nikasema nawapa mwaka tu nione mtafanyaje.
Wamesanda game mbayaaa, wote wawili, wakaanza ponda hii kitu wenyewe.

Inawezekana ikawa ni biashara ya muujuza kuwa inawweza hsi work out kwangu ila kwako ikawa poa.

ALL THE BEST MKUUU, PIGA HIYO BUSINESS

uko sahih mkuu. vingine ni
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huitaji kuambiwa kama kitu fulani kinafaa ili wewe kujua kama kinafaa au hakifai...

Pia Mkuu sio kila kitu ni cha kila mtu fulani akiweza sio kwamba wewe utaweza au akishindwa sio kwamba wote tutashindwa cha maana ni kujiuliza is this for me... Kwa maelezo zaidi angalia hapa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...8-matatizo-ya-network-marketing-tanzania.html

AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.Ukiona watu wanaponda kitu ni kutokana na mtazamo wa watu hao.Pia ukiona watu wanasifia kitu ni mtazamo wao juu ya kitu hicho.Hivyo usijali GLASI YA MAJI IKIWA NUSU ukiwauliza watu,Wapo watakaosema ina maji nusu,wengine watasema haijaa nusu.Ukiandika chini namba 6 au 9 waambie watu wawili mmoja asimame mbele na mwingine nyuma waulize wanaona nini.Utapata majibu tofauti lakini WOTE WAKO SAHIHI inategemea wamesimama wapi na wanaona nn.
 
mi hii biashara kinachonikera ni kudanganya wateja. unauzia watu vitamin supplement kwa bei ya juu kwa sababu tu mteja hafahamu. hakuna tofauti na kina Ndodi au Mwaka.

Mi nakiri dawa zao ni nzuri, hasa kwa matatizo ya mzio (allergy) lakini bei zake kwa kweli ni wizi na ndio kilichonishinda. yaani unaona kabisa kuwa unamuibia mtu.
 
Hiyo business ni shidaaaa! Kutokamo Inge work out kama wange base kununua na kuuza kama wewe na siyo network ya kusukuma watu wengine, na Kwa kipato cha kawaida huwezi kuuzia watu wengi cause product zao nizamatajiri tu, ukitaka supplement kanunue 21century, wana supplement zote kama za Forevor na bei ambayo ni affordable Kwa kila mtu.

karibu NEPTUNUS nakwambia products ni za uhakika pia kujiunga ni cheap sana unapatiwa mafunzo yakutosha
 
Binafsi siwezi biashara za aina hii. Ni aina ya wizi halali kwenye mfumo wa ubepari.
 
Maana naona hapa chuoni watu wako moto na hii.
Isije ikawa ni changa la macho!
 
Dah hawa jamaa walishawahi kunifuta ila machale yakanicheza
 
Nooooo.....usijaribu huo mradi wa watu kupiga hela. Cha kufanya tafuta biashara yako mwenyewe..Kwenye ,NETWORK MARKETING KUTAJIRIKA KWA MUDA MFUPI SIO RAHISI KAMA UNAVODHANI
 
Acha ujinga, fanya kazi kwa bidii utakuwa tajiri tu
 
Ah hao forever wajanja sana kwanza ili uanze biashara unatakiwa uwe na mtaji wa laki 9 ununue bidhaa zao ukauze halafu wanajua kushawishi hao
 
Back
Top Bottom