Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
kijana acha arrogance, nshomile wewe! mbona show hizi hata marine wanafanyaga, kawadanganye hukoooohili ndio bara la giza, tunafanya vitu ambavyo wakoloni wetu waliacha kufanya karne ya 19...
kijana acha arrogance, nshomile wewe! mbona show hizi hata marine wanafanyaga, kawadanganye hukoooohili ndio bara la giza, tunafanya vitu ambavyo wakoloni wetu waliacha kufanya karne ya 19...
Mkuu zile ni 2 By 2, sipati picha kama zingekuwa mirunda ya upana 4.walichon
walichonizidi pale ni ile kupigwa na mbao na kuvunjika, hapo ndio watanishinda, ila tukija kwenye action, kuna uwezekano mkubwa sana nikawasumbua walau masaa matatu na black belt yangu. hatahivyo, nawapongeza sana, najua malawi na vinchi vingine vinavyotuzunguka watakuwa wameona hiyo msg.
huna black belt bana usidanganye hapawalichon
walichonizidi pale ni ile kupigwa na mbao na kuvunjika, hapo ndio watanishinda, ila tukija kwenye action, kuna uwezekano mkubwa sana nikawasumbua walau masaa matatu na black belt yangu. hatahivyo, nawapongeza sana, najua malawi na vinchi vingine vinavyotuzunguka watakuwa wameona hiyo msg.
Katika viwango vya kimataifa vya ukomandoo, hawa jamaa wanashika nafasi ya daraja la F.Endelea kumuelewesha komandoo pia ni kikosi maalumu kwa ajili ya kazi maalumu.na wanafundishwa hasa uwezo wa kupigana au kukabiliana na hali ngumu.pia komandoo ndio wanapewaga kazi spesho katika vita kama kukomboa mateka au task ya kwenda kumuua adui ambaye yupo ndani ya ulinzi mkali.
kwa kifupi komandoo ni vikosi maalumu vyenye mafunzo maalumu kwa ajili ya malengo maalumu tofauti na wanajeshi wengine.
Duh ndio kwanza naskia kwakoLeftnant na Luten ni vyeo viwili tofauti kabisa
Umejuaje ?Makomando wa Tz ni mojawapo wa Makomando wenye mafunzo ya hali ya juu duniani...
Asante mkuu
Misumari imewekwa karibu karibu kiasi hata maji hayapiti. Angepigilia misumari 32 pale kwenye ubao, pangechafuka damu wallah
Kama ni kweli basi wangeipishanisha hyo misumari..mingine iwe mirefu mingine mifupi..nahisi tungepata mrejesho mzuri jioni hiiHapana. Huu ni UONGO. walichofanya ni sayansi asilia kabisa. Ukiwez kutawanya misumari katika umbali sawia kwa kila upande. Basi husababisha maumivu au madhara kidogo sana kwa sababu ya tabia ya ngozi.
Mfano kukalia mbao moja unaweza umia makalio, ila kukiwa na mbao mbili au zaidi zilizowekwa kwa nafasi nzuri kutoka kwa kila moja basi maumivu hupotea.
"Photos are prohibited in this area"Tupia video
Equal reactionnewtons third law of motion "to every action there is opposite and unequal reaction"
Hii ni show off tu mkuu kwa ajili ya maonesho,usichukulie kila kitu kivitavita tuEti katika mapigano ya pale Allepo marekani na Russia wanavunja maubao kwenye ugoko na migongoni?
haujui kazi ya MP wewe...Acha hizo wewe, MP haendi kwa Komandoo. By the way hawakai pamoja hata wakienda operation kila mmoja anakuwa na assignment yake na command officer wake.
walichon