Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

Acha story za kusadikika
Dstv kuna channel moja zamani ilikua ikionyesha world strongest men.... Watu walikua wanavuta engine ya tren na behewa moja. Inavutwa mpk inatembea. Lkn sio ile mi engine mikubwa
 
ukomando ni kitengo tu kama walivyo ma MP's (military police)
wanaachana tasks na wanajeshi wa kawaida...
ndomana hata komando akiharibu kazi analishwa kazi na MP japo ki material mp anazidiwa
Inavyo onesha we ni MP
 
Kama ni private kwann waitwe makomandoo au unaweza kuwa private komandoo
Kuwa komandoo sio cheo,ndio maana mc alikuwa anasema hao ni private fulani au koplo fulani. Kuwa komando ni kuwa umepitia kozi fulani ambayo askari wa kawaida wengi hawawezi na kwa asili hao makomandoo wanaogopwa mpaka na askari wenzao[emoji123] [emoji109]
 
Kuwa komandoo sio cheo,ndio maana mc alikuwa anasema hao ni private fulani au koplo fulani. Kuwa komando ni kuwa umepitia kozi fulani ambayo askari wa kawaida wengi hawawezi na kwa asili hao makomandoo wanaogopwa mpaka na askari wenzao[emoji123] [emoji109]
Kwa lugha nyepesi ni vikosi maalumu kwa mafunzo maalumu ya hali ya juu. Hawa ndio uti Wa mgongo Wa jeshi pamoja na kua askari wote na vitengo vyote vinategemeana lkn hawa hutegemewa Zaidi ndio maana ni vikosi maalumu.
 
Dstv kuna channel moja zamani ilikua ikionyesha world strongest men.... Watu walikua wanavuta engine ya tren na behewa moja. Inavutwa mpk inatembea. Lkn sio ile mi engine mikubwa
mkuu usiziamini sana reality shows zinazo onyeshwa kwenye pay tv kama dstv na nyinginezo.

nyingi ni scripted ili kutengeneza scenes nzuri za ku-attract viewer's wengi, ukweli huwa ni asimilia ndogo sana.

unaikumbuka tv show maarufu kwa jina la "pimp my ride"?!.bofya link usome majanga yake: The Truth About the Cars from 'Pimp My Ride'


tukirudi kwenye tukio la leo la wale komando wawili wenye miili ya kawaida kuvuta roli la iveco.ukweli lile ni tukio halisi.kulikuwa hakuna script pale.

to make it short,those guys are bad ass,extra ordinary military soldiers.
salute to our special men in uniform.
 
Privete kwa maana ya kwamba bado hajaanza kupata insignia yoyote!
Ukomando sio cheo, ni mafunzo tu yeyote anaweza enda somea kama atakidhi vigezo!!
Usiseme hajaanza kupata insignia, sema hajaanza kupata rank ya juu au kutambulika kuwa nco
Insignia na rank ni vitu viwili tofauti.
 
Mkuu usiziamini sana reality shows zinazo onyeshwa kwenye pay tv kama dstv na nyinginezo.

Nyingi ni scripted ili kutengeneza scenes nzuri za ku-attract viewer's wengi,ila ukweli huwa asimilia ndogo sana.

Unaikumbuka tv show maarufu kwa jina la "pimp my ride"?!.bofya hili link usome majanga yake

tukirudi kwenye tukio la Leo la wale komando wawili kwenye miili ya kawaida,kuvuta ile iveco.ukweli like in tukio halisi.kulikuwa hakuna script pale.to make it short,those guys are bad ass,extra ordinary military soldiers.
salute to our special men in uniform.
Yeah wale askari wetu Wa Leo ni hatari wale.

Mi nashangaa watu wanavyowabeza lkn ukiwapa ile package waliyobeba mgongoni yenye kg 65 atembee nayo kwa masaa mawili lazima MTU akohoe damu. Lkn jamaa anakaa nalo siku 7 akiwa ktk oparesheni akiwa kalibeba.

Watanzania wanapaswa kushukuru kuonyesha uzalendo kwa hawa askari wetu na hivi vikosi maalumu maana mambo km haya tulizoea kuyaona huko kwa M16 au Navy seal team six.
 
Kuna namna nyingine ya kutamka hilo neno. Hiyo uliosema ni UK English na kuna ile ya US English (angalia chini)

lieutenant
noun [ C ]

UK /lefˈten.ənt/ US /luːˈten.ənt/

Source: lieutenant Meaning in the Cambridge English Dictionary
Alichoongelea #Ipogolo# ni sahihi sasa wewe sijui umerekebisha nn, mbona neno rangi nalo linaweza kuandikwa kwa BrE au kwa Us English lakini linatamka sawa
BrE: Colour
Use: Color
#Ipogolo# yupo sahihi kwa alichoandika
 
Kilo sitini na tano mgongoni. Bado wanaruka katika mwendo ule wa kwata maalum. Endeleeni kubeza tu nyie ambao ndoo ya maji lt kumi unatua mara tano kabla ya kuifikisha mt 30 toka ulipoyachota.
Ni Nouma aisee.

Alafu hiyo kg 65 kuna askari wengine hupelekwa ktk oparesheni kwa helicopters wakiingizwa wakivushwa boda tu na kuingia eneneo walilokusudia wanaruka na hizo kg 65 mpk chini. Hawa wanaobeza kuruka kutoka ktk paa la Nyumba tu hawawezi......

Haya mambo ya vikosi maalumu watu wangeacha dharau zao hawa sio watu Wa kawaida.
 
Next time waruhusu wananchi waingie na matofali yao then wayavunje ndo tutajua ukweli wa ukomavu wao...siyo hayo wanayotangeneza wenywewe
Hayo ya kutengeneza wenyewe, wametengeneza lini? Sio kweli unachoongea.
 
Back
Top Bottom