barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Privete kwa maana ya kwamba bado hajaanza kupata insignia yoyote!Kama ni private kwann waitwe makomandoo au unaweza kuwa private komandoo
Ukomando sio cheo, ni mafunzo tu yeyote anaweza enda somea kama atakidhi vigezo!!