krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 291
Kwani nimekosea nn kuomba ulinganisho ? Nisome tena nadhani umekurupukaMtu chake, ni mjinga tu anayesifia mke wa jirani. Jifunze kwa wakenya waliomo humu.
Kwani nimekosea nn kuomba ulinganisho ? Nisome tena nadhani umekurupukaMtu chake, ni mjinga tu anayesifia mke wa jirani. Jifunze kwa wakenya waliomo humu.
newtons third law of motion "to every action there is opposite and unequal reaction"Lakini kwa nini matofali yalikua yanamwagika kama udongo tu au yalikua feki
Swali gumu hilo, ulitaka wafyatue risasi na missiles wee kuna mama alizimia pale ulionaEti katika mapigano ya pale Allepo marekani na Russia wanavunja maubao kwenye ugoko na migongoni?
Watoto wa sekondari mmejaa humuSwali langu ni mbona hivyo bonito wavichome Kwanza Ndio wavunje Je wakikutana na Adui itabidi wamsubiri awashe moto achome jiti ndipo waivunjie mwilini hayo matofali waje wachukue nilojengea kwangu wayavunje juu ya kifua cha mmoja wao tuone matokeo Najiuliza tu
Hao ndio baadhi watanzania bwana. Yaani kila kitu kukiangalia kwa mtazamo hasi. Ukiwashiriki wanakuambukiza negativity zao. Ukiwa rahimu watakuita dhaifu. Ukiwa mkali watakuita dikteta. Sasa kuwathibitishia uwezo wa makomando zile ngumi zielekezwe kwao, utasikia watu na mafunzo wanapigana na raia wa kawaida!!!? Wafanyaje si mnataka kupima uzito wa mikono yaoo???Katika hali ya kawaida tu, wewe mwenzangu unaweza ukavunjiwa ubao kwenye ugoko na usipate madhara? Je wewe mwenzangu unaweza ukavunjiwa matofali kichwani na usipate madhara? Vipi kuhusu kulala kwenye misumali? Na je waweza vuta gari la tani 7 mkiwa wawili tu? Kama huwezi vitu vidogo kama hivyo, utawezaje kuhimili mapigano yanayohitaji uvumilivu, shuruba ustahimilivu na ukomavu wa hali ya juu katika kuhimili mazingira magumu ya adui. Tuache kukosoa hata tusiyoyajua.
View attachment 444293
Acha akili za kitoto pale walichokuwa wanafanya ni show ya ukakamavu hivi unashindwaje kutumia akili tu ya kawaida kufikiri?!! hebu kuwa kiakili ukiwa humu JF onesha ukomavu wako wa kiakili ili wengine tujifunze kupitia kwako.Swali langu ni mbona hivyo bonito wavichome Kwanza Ndio wavunje Je wakikutana na Adui itabidi wamsubiri awashe moto achome jiti ndipo waivunjie mwilini hayo matofali waje wachukue nilojengea kwangu wayavunje juu ya kifua cha mmoja wao tuone matokeo Najiuliza tu
Vip wewe unawezaHivi wanaweza zuia risasi kwa kichwa wale?
Angalia tangazo la nyati. Utajua kuwa hata matofali yana madarajaKatika hali ya kawaida tu, wewe mwenzangu unaweza ukavunjiwa ubao kwenye ugoko na usipate madhara? Je wewe mwenzangu unaweza ukavunjiwa matofali kichwani na usipate madhara? Vipi kuhusu kulala kwenye misumali? Na je waweza vuta gari la tani 7 mkiwa wawili tu? Kama huwezi vitu vidogo kama hivyo, utawezaje kuhimili mapigano yanayohitaji uvumilivu, shuruba ustahimilivu na ukomavu wa hali ya juu katika kuhimili mazingira magumu ya adui. Tuache kukosoa hata tusiyoyajua.
View attachment 444293
Nani kakwambia nchi zilizoendelea hawqfanyi? kuna ndugu katupia video kuonyesha wanajeshi wa marecan wakifanya show. Mambo haya yapo karibu katika kila nchi na hufanyika hasa wanaposherehekea siku muhimu za kitaifahili ndio bara la giza, tunafanya vitu ambavyo wakoloni wetu waliacha kufanya karne ya 19...
Boss wao alikuwa Lieutenant (tamka :Leftnant) kiswahili Luteni.
Komando ni ujuzi sio cheo mekuKama ni private kwann waitwe makomandoo au unaweza kuwa private komandoo
Asante mkuuAcha akili za kitoto pale walichokuwa wanafanya ni show ya ukakamavu hivi unashindwaje kutumia akili tu ya kawaida kufikiri?!! hebu kuwa kiakili ukiwa humu JF onesha ukomavu wako wa kiakili ili wengine tujifunze kupitia kwako.
Shule zimefungwaWatoto wa sekondari mmejaa humu