Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

walichon
Komandoo anakuwa Rank yoyote kijeshi kuanzia Private mpaka General ijapokuwa wana Rank zao zingine kulingana na Mafunzo mbalimbali waliyopitia na kufuzu.
walichonizidi pale ni ile kupigwa na mbao na kuvunjika, hapo ndio watanishinda, ila tukija kwenye action, kuna uwezekano mkubwa sana nikawasumbua walau masaa matatu na black belt yangu. hatahivyo, nawapongeza sana, najua malawi na vinchi vingine vinavyotuzunguka watakuwa wameona hiyo msg.
 
Privete kwa maana ya kwamba bado hajaanza kupata insignia yoyote!
Ukomando sio cheo, ni mafunzo tu yeyote anaweza enda somea kama atakidhi vigezo!!
Endelea kumuelewesha komandoo pia ni kikosi maalumu kwa ajili ya kazi maalumu.na wanafundishwa hasa uwezo wa kupigana au kukabiliana na hali ngumu.pia komandoo ndio wanapewaga kazi spesho katika vita kama kukomboa mateka au task ya kwenda kumuua adui ambaye yupo ndani ya ulinzi mkali.
kwa kifupi komandoo ni vikosi maalumu vyenye mafunzo maalumu kwa ajili ya malengo maalumu tofauti na wanajeshi wengine.
 
Watanzania bhana
Kwani nyie mlitegemea makomandoo wanamuonekano gani?
Ngoja niwambie jambo pengine baadhi yenu hamfahamu
Komandoo anakua mtu wa kawaida sana kwa muonekano wala msitegemee kumuona kajazia kama wale akina Rambo kwenye movie, pia sherehe ya leo kama mlivyoona ilikua simple na mkuu hakutaka complications za aina yoyote na kilichooneshwa pale ni show ndogo sana na msitegemee wataonesha umahiri wao katika vita.

Kama mnadhani wale sio komandoo basi siku moja ukiweza kukutana nae muombe mpimane nguvu mkiwa wawili kama hatutatafuta maiti yako mwaka mzima
 
Niliwahi kuambiwa na mmoja wao ambae ni shemej yangu mazoez yao baadhi huko porini kwa kwel nilibaki namuangalia tu sikua naamin anachoongea ..wale waangalieni tu vile vile
 
walichon

walichonizidi pale ni ile kupigwa na mbao na kuvunjika, hapo ndio watanishinda, ila tukija kwenye action, kuna uwezekano mkubwa sana nikawasumbua walau masaa matatu na black belt yangu. hatahivyo, nawapongeza sana, najua malawi na vinchi vingine vinavyotuzunguka watakuwa wameona hiyo msg.
Ndipo mnapokosea. Una black belt ya mchezo gani wa sanaa ya mapigano mkuu? Kujua pressure points, nzuki zote, na mawashi sio kuweza kupigana na mtu aliefunzwa kupiga!
 
Ndipo mnapokosea. Una black belt ya mchezo gani wa sanaa ya mapigano mkuu? Kujua pressure points, nzuki zote, na mawashi sio kuweza kupigana na mtu aliefunzwa kupiga!
mkuu, kama unajua hii michezo ungeelewa ninachoongea na kwa kuwaangalia wale jamaa kasi yao ya kuattack, uzito na wepesi wao etc. siwadharau, lakini nakuhakikishia, ukiondoa bunduki na zana zingine, mafunzo waliyonayo ninayo tena naweza kuwa tishio. ila wamenizidi kwasababu wao wanajua kutumia silaha. ila kwenye michezo yote hii uwe mjeshi au la, tunafundisha vijana wetu stricking points, wapi unaweza kutoa pigo na adui akaahirisha kupigana au akafariki kabisa, ndio maana unaweza kuona kamtu kana umbo dogo sana lakini kamemdondosha bonge la mtu, ni kwasababu amefundisha eneo la kupiga. kuna maeneo ya kupiga, hatupigi kila eneo. ila hao jamaa mafunzo yao na mazoezi ni mazito sana misuli imekuwa migumu ndo maana anapigwa na ubao hadhuriki.hicho ndicho wanachotuzidi. pia intelligensia ya kijeshi wananizidi,ila kupigana kwa gafla bin pu, kuna vitu vingi sana tunaenda nao sawa. mzee, nimejifunza shotokan karate na shaorin kong fu na nimefika mbali sana. wajeshi wengi wanajifunza karate na combat na wengine kuna martial art ya kiisrael huwa wanajifunza, na kusema ukweli wako vizuri sana usije kuwadharau, na ukiongeza, hao makombandoo wa kitanzania hadi madawa ya kienyeji huwa wanayo, hivyo wakiamua kukushughulikia, bora usalende mapema, wanakuondoa kabisa. hatari sana hao.
 
Watanzania bhana
Kwani nyie mlitegemea makomandoo wanamuonekano gani?
Ngoja niwambie jambo pengine baadhi yenu hamfahamu
Komandoo anakua mtu wa kawaida sana kwa muonekano wala msitegemee kumuona kajazia kama wale akina Rambo kwenye movie, pia sherehe ya leo kama mlivyoona ilikua simple na mkuu hakutaka complications za aina yoyote na kilichooneshwa pale ni show ndogo sana na msitegemee wataonesha umahiri wao katika vita.

Kama mnadhani wale sio komandoo basi siku moja ukiweza kukutana nae muombe mpimane nguvu mkiwa wawili kama hatutatafuta maiti yako mwaka mzima
Tusitishane mkuu...
 
Kama ni private kwann waitwe makomandoo au unaweza kuwa private komandoo
Yes kabisa unaweza kuwa komando halafu ukiwa private

Komando sio cheo ni kozi tu ambayo ukiifuzu unaitwa "komando"

Private ni rank ya chini kabisa katika Tabaka la *askari* Jeshini .

Kuna makomando ambayo wako tabaka la *maafisa Wa jeshi * na rank ya chini ni luteni usu .

Hope umeelewa[emoji2]
 
Back
Top Bottom