Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,845
Sijui ni kuzidiwa na utamu? Au ni umafiki? Au ni sababu ya kupata ladha mpya!! Waitwao wabunge leo wa CCM na wale covid-19 walipigia makofi kila alichokisema mama
Kuna wakati hata hayakuhitajika lakini yalipigwa... Meza za bunge leo zimeipatapata na viganja vya waheshimiwa kama havijavilia damu sijui? Tutaona kesho kama kuna watakaoweza hata kushika kalamu