stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,104
Salamu.
Wanajamvi kijana stevoh nimerudi ndani ya nyumba..
Ukweli nimewamisi sanaa..
Nilikua napita kwenye mapito ila nimeyamaliza NOW AM BACK.!!
Nyimbo inayovuma baada ya kupita..
Jaribu kwa mtu sio kwamba ni mtenda dhambi,
ila ni wakati tu ambao ninapitia...
"Jaribu kwa mtu sio kwamba ni mtenda dhambi,
ila ni kikombe tuu ambacho ni lazima nikinywe...
alafuu kuna huu tena...
nani ajuaye maumivu ya moyo...
Nani awezaye yatambua yakutesayo moyo
RECOGNIZE AM BACK.
Copy:
Erickb52, charminglady, Zion Daughter, lady furahia, Chocs, watu8, Mr Rocky, [nimepoteza namba],
Madame B, etc etc

Last edited by a moderator: