Makofi tafadhali... Stevoh ndani ya jamvi tena..

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,922
1,195
Salamu.
Wanajamvi kijana stevoh nimerudi ndani ya nyumba..
Ukweli nimewamisi sanaa..
Nilikua napita kwenye mapito ila nimeyamaliza NOW AM BACK.!!
Nyimbo inayovuma baada ya kupita..
Jaribu kwa mtu sio kwamba ni mtenda dhambi,
ila ni wakati tu ambao ninapitia...
"Jaribu kwa mtu sio kwamba ni mtenda dhambi,
ila ni kikombe tuu ambacho ni lazima nikinywe...

alafuu kuna huu tena...
nani ajuaye maumivu ya moyo...
Nani awezaye yatambua yakutesayo moyo

RECOGNIZE AM BACK.
Copy:
Erickb52, charminglady, Zion Daughter, lady furahia, Chocs, watu8, Mr Rocky, [nimepoteza namba],
Madame B, etc etc
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,188
2,000
Nina wasi wasi ulikuwa likizo ya lazima na net ya ofisi ikapotea ndo maana
karibu tena mkuu humu stevoh tupo aise
Ila usije ingilia mke wa mtu Baba V kawa mkali kama pilipili baada ya majaribio ya kumpindua kutoka kwa Erickb52 kushindikana
 
Last edited by a moderator:

Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,929

Mhhhh.Mapito!?Nina mashaka
 
Last edited by a moderator:

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,922
1,195
Nina wasi wasi ulikuwa likizo ya lazima na net ya ofisi ikapotea ndo maana
karibu tena mkuu humu stevoh tupo aise
Ila usije ingilia mke wa mtu Baba V kawa mkali kama pilipili baada ya majaribio ya kumpindua kutoka kwa Erickb52 kushindikana

muulize mke wangu atakujibu kama ni mke wa wanaume wawil ama la.
 
Last edited by a moderator:

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,125
2,000
Salamu.
Wanajamvi kijana stevoh nimerudi ndani ya nyumba..
Ukweli nimewamisi sanaa..
Nilikua napita kwenye mapito ila nimeyamaliza NOW AM BACK.!!
Nyimbo inayovuma baada ya kupita..
Jaribu kwa mtu sio kwamba ni mtenda dhambi,
ila ni wakati tu ambao ninapitia...
"Jaribu kwa mtu sio kwamba ni mtenda dhambi,
ila ni kikombe tuu ambacho ni lazima nikinywe...

alafuu kuna huu tena...
nani ajuaye maumivu ya moyo...
Nani awezaye yatambua yakutesayo moyo

RECOGNIZE AM BACK.
Copy:
Erickb52, charminglady, Zion Daughter, lady furahia, Chocs, watu8, Mr Rocky, [nimepoteza namba],
Madame B, etc etc

Karibu saaaana mkuu... Huko utokako.kuna usalama kweli????
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom