Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkuu kwema ??Nimeivizia hii tangu jana. Dikteta umeniwahi. Hongera sana. Ungekuwa na strategies kama hizi bila shaka usingemhusudu Hitler kiasi kile mpaka kuanguka naye. Tuko pamoja!
Mkuu kwema ??Nimeivizia hii tangu jana. Dikteta umeniwahi. Hongera sana. Ungekuwa na strategies kama hizi bila shaka usingemhusudu Hitler kiasi kile mpaka kuanguka naye. Tuko pamoja!
Shemelaa mweeewhKupanda ngazi hakukwepeki![]()
![]()
![]()
Kwenye "countdown za madenge "Mzee wa kuvizia
Tukutane baadaye
........
Nyie fukueni makaburi tu. Mengine yana laana na ukiyafukua hutabaki salama. Mfano inasemekana watu wote waliofukua kaburi la huyu dogo hapa chini wote waliangamia mmoja baada ya mwingine. Mpaka leo wanasayansi wanakuna vichwa kujua hasa ni nini kiliwaua. Na kwa nchi yetu hii makaburi yakifukuliwa, sidhani kama kuna atakayesalimika - si wa kule wala wa huku. Uozooooo!!!
Subiri joto huko ndani lizidi hayo matofali yalike halafu malighafi iripuke. Majirani watatafutana!choo cha ghorofa![]()
Mkuu nina neno na wewe ....una mda tuyajenge apa ??Nyie fukueni makaburi tu. Mengine yana laana na ukiyafukua hutabaki salama. Mfano inasemekana watu wote waliofukua kaburi la huyu dogo hapa chini wote waliangamia mmoja baada ya mwingine. Mpaka leo wanasayansi wanakuna vichwa kujua hasa ni nini kiliwaua. Na kwa nchi yetu hii makaburi yakifukuliwa, sidhani kama kuna atakayesalimika - si wa kule wala wa huku. Uozooooo!!!![]()
Uwongo! Hebu kula makande usukumizie na maziwa halafu ulale. Nightmares utakazopata si za sayari hii. Utaiona sura ya madenge imekuwa kama jiwe kubwa tena limejaa wadudu wa kila aina linakuja kukugonga halafu hata kujisogeza huwezi japo fahamu unazo. Nightmares mara nyingi ni kulala vibaya, kutopata hewa ya kutosha na kuvimbiwa!
Duuuuuuh
Sema nakusikiliza. Nifikishie salamu zangu za pole kwa mkeo. Mungu hatamuacha!Mkuu nina neno na wewe ....una mda tuyajenge apa ??
Ebhu potezea kwanza make ukimtaja tu shunie sijui unajisikiajee??Sema nakusikiliza. Nifikishie salamu zangu za pole kwa mkeo. Mungu hatamuacha!
Mkuu mie mbona sijamtaja Shunie? Kwa heshima kabisa nimesema mkeo. Please jiamini!Ebhu potezea kwanza make ukimtaja tu shunie sijui unajisikiajee??
Qnyway back to points
Mm sio muhumini mzuri wa siasa japo wengi wanaamini tunaishi kwenye siasa ..yawezekana mshawahi kuiongelea hili suara lakin sio mbaya tukarudia ??
Nina maswali matatu leo ila naanza one by 1 ...
Unahisi magufuri alistahili kuiongoza Tanzania ??
Uko makini mkuu ...Mkuu mie mbona sijamtaja Shunie? Kwa heshima kabisa nimesema mkeo. Please jiamini!
Hili ni swali la kinadharia na hakuna jibu la moja kwa moja. Alistahili kivipi? Kiutendaji, kifalsafa, kimtazamo, kimantiki au kivipi? Na kwa nini swali lako lipo katika wakati uliopita? Nijuavyo mimi ni kwamba alifuata taratibu zote baada ya kutimiza vigezo vyote na akachaguliwa na Watanzania wenzake. Pengine ukifafanua unamaanisha nini kwa kuuliza hivi. Je Kikwete alistahili kuiongoza Tanzania? Mkapa je? Mwinyi? Mwalimu? Unaupimaje ustahili? Funguka na vigezo concrete. Na mjadala ukihamia kwenye ushabiki wa kivyama, kikabila, kikanda, kidini.... nitatoka nduki....
Jibu langu hapo juu bado linasimama. Bila kuweka vigezo unavyotumia kuupimia ustahili, ni vigumu sana kulijibu swali lako.Uko makini mkuu ...
Kabla ya yote nyongeza...
Je magufuri anastahili kuiongoza Tanzania ??
Aisee, uhuru atampongeza mchorajiNaona wenzetu bado wana kauhuru tena kalikopindukia kimo![]()
Hata yeye huwa anasema hivyoUnaambiwa waroma wanampenda jamaa kupita maelezo..
Alishapewa mkataba wa kuwepo kwenye benchi la ufundi la As Roma lakini jamaa akakataa..
Kakomaa kucheza hadi sasa hivi anafikisha 40 kesho kutwa tuu..
Wengine waamini kuwa Totti ndio mtu influencial huko Roma baada ya Pope..
Hi shemelaaa!Shemelaa mweeewh
Duh aisee