Makapuku Forum

Makapuku Forum

DARGAI, PAKISTAN
b12119ea251a139cf10176d2cea88861.jpg
Watu wakivuta gari lililopinduka juu ya kilima baada ya kupakia Ngano kupita kiasi.

*************************
Kesho pia ni siku tutaendelea kujuzana kwa wiki nzima.

Nakutakieni mchana mwema
tani 1+ wanaenda kuvuta watu kumi
 
NUKUU YA LEO

Winning one league title at Roma to me is worth winning 10 at Juventus or Real Madrid.

Kushinda kombe moja la ligi nikiwa na Roma ni faida kubwa kwangu kuliko kushinda makombe 10 ukiwa na Juventus au Madrid

Haya maneno yalipata kusemwa na mwanasoka wa kimataifa ya Italia na klabu ya As Roma Bw. Francesco Totti. Totti alizaliwa sept. 27. 1976 mjini Roma-Itali

Francesco Totti anayevaa jezi namba 10 amedumu As Roma kwa miaka 24 na kuweka rekodi nyingi kuliko mtu yeyote.

Totti amecheza jumla ya mechi 786 na kufunga magoli na kufunga jumla ya magoli 307.

Juzi jumapili Totti alistaafu Rasmi kucheza soka ngazi ya Club wakati alistaafu team ya Taifa 2007 .

Nimefanya kwa ufupi tuu wakuu..ila week hii nitakuwa naleta matukio na nukuu za Francesco Totti.
ea3bb64421f33f13ca066be1691a05d5.jpg

6482429eff93f41e8a4e14a4c6332806.jpg
1f333b0bce76f70ad1b7046dfdcfa25e.jpg

Waitaliano wanasema

No Totti, No party
Asante Mkuu kwa mambo muhimu ya kumuhusu El capitano de la Roma.
 
Asante kwa Nukuu T wa Sakayo
 
36132c3df2f39c6e99cda76414826ee0.jpg
660e53248d0fe67d77cb39477cfa91b6.jpg
Ukitaka kugombana na Waroma kabomoe sanamu walizomjengea
......
Unaambiwa waroma wanampenda jamaa kupita maelezo..

Alishapewa mkataba wa kuwepo kwenye benchi la ufundi la As Roma lakini jamaa akakataa..

Kakomaa kucheza hadi sasa hivi anafikisha 40 kesho kutwa tuu..

Wengine waamini kuwa Totti ndio mtu influencial huko Roma baada ya Pope..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom