Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Majinamizi/ndoto za kutisha usiku yanatokana na kulala kwenye vyumba vyenye joto dogo(ubaridi)Sijaelewa hapo
......
Majinamizi/ndoto za kutisha usiku yanatokana na kulala kwenye vyumba vyenye joto dogo(ubaridi)Sijaelewa hapo
Nko poa cjui wwePouwa..
Mambo T wa Shululu
Hongera sana mkuu Mussolin5 kwa200K
Hapo sawa.Majinamizi/ndoto za kutisha usiku yanatokana na kulala kwenye vyumba vyenye joto dogo(ubaridi)
......
Ndio maana yakeHahaha kama nyoka
Chattle, Geita, Tanzania.Mwenyeji wa wapi huyu?![]()
[HASHTAG]#199999[/HASHTAG]Magu
[HASHTAG]#200000[/HASHTAG]200K
Pamoja sana komrediHongera sana mkuu Mussolin5 kwa
200k [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chattle, Geita, Tanzania.
Shemela unaogopa kubukua eeeh![emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mambo hayochoo cha ghorofa![]()
Kupanda ngazi hakukwepeki[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiwa unahara utaratibu upoje hapo?
[emoji106]Mzee wa kuvizia
Tukutane baadaye
........
Ahaaaaaah ongeraaa dikteta200K
Aaa wapi. Mkinga huyu [emoji23][emoji23][emoji23]. Si ajabu ni mjombake na Shedede!Chattle, Geita, Tanzania.
Nimeivizia hii tangu jana. Dikteta umeniwahi. Hongera sana. Ungekuwa na strategies kama hizi bila shaka usingemhusudu Hitler kiasi kile mpaka kuanguka naye. Tuko pamoja!200K
Hakuna kubembelezana. Cheo si mali yako ati!