Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
![]()
![]()
![]()
marital problems husababisha changamoto nyingi sana moyo uliotulia ni dawa kubwa ya mwili.mtafute muongee utamsaidia sana.
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app

![]()
![]()
![]()
marital problems husababisha changamoto nyingi sana moyo uliotulia ni dawa kubwa ya mwili.mtafute muongee utamsaidia sana.
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app

Cc shemela LeeView attachment 516383Tigo matatizo wameyataka wao
MITHALI 18
10. Jina la BWANA ni ngome imara,Mwenye haki huikimbilia,akawa salama.
Asante BABA kutuamsha salama tena tunakimbilia jina lako maana ni ngome imara ili tuwe salama.
AMEN
SIKU NJEMA![]()
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
asante mama mchungaji1981 - Remy Ma anazaliwa.
Ni rapa wa kimarekani.
Asante mkuu. Naomba nikubatize jina LA KAZI utaitwa INKOSIKAZI.
InkosikaziKaribuNaomba kujiunga makapuku forum
Nmeamka salama pole na majukumuNzuri My mke, umeamkaje
Hapo kwa Wazenji umepigilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza la CCM![]()
![]()
Waafrika linapokuja suala la madaraka hatuwezi kuafikiana kwa njia za amani mfano ingeweza kuitishwa kura ya maoni lakini zisingeheshimika wajanja wangeiba kura tu![]()
Hata Sudan sio kwamba wamekubaliana kiroho safi bali waneshinikizwa tu na Jumuiya za Kimataifa
.
Ingekuwepo demokrasia basi hata Wazenji wangeshaachana na Muungano muda mrefu tu
......
ICC ipo kwajili ya Afrika na Nchi za Asia.
Ila akina Bush(Sr & Jr) hawajawahi kufungwa jela japo siku 3 tu pamoja na kuua watu wengi wakati wa utawala wao![]()
ICC ipo kwaajili ya Waafrika tu
......
Kigoda cha Mwl Nyerere kinafanya kazi gani?1922 - Lincoln memorial yazinduliwa huko Jijini Washington Dc
Ni taasisi inayotunza kumbukumbu za Rais Abraham Lincoln.
Huwa hata sijui kazi yake rasmi sanasana naona wanaanda zaidi mikutano, warsha na makongamano.Kigoda cha Mwl Nyerere kinafanya kazi gani?
Wagonjwa na familia kwa ujumla wanaendeleaje?Amen asante
Shukrani mkuu Bitoz kwa picha
AhsanteKaribu
AiseeHuwa hata sijui kazi yake rasmi sanasana naona wanaanda zaidi mikutano, warsha na makongamano.
Mzee wa almasi2012 - Rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor anahukumiwa kifungo cha miaka 50 kwa makosa yake aliyofanya wakati wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sierra Leone.
RIP2009 - Ephraim Katzir anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 4 wa Israel.
HBD Steven1980 - Steven Gerrard anazaliwa.
Kiungo na kepteni wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza.
Anajulikana kama Captain Fantanstic, ni mmoja wa viungo bora wa Kiingereza kwa miaka 10 hadi 15 iliyopita.
Asante mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Ndiyo, ila zamani walikuwa hawana wadhamini kabisa, sijui walikuwa wanajiendeshajeNaona wamemaliza mkataba na Qatar airways