mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Asante
Asante
Asante kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante Lee mwanangu Shunie yuko wapi msalimie nawatakia siku njema mbarikiweAsantee mama mchuchu
Asante Obe tunakupenda sana ,ubarikiweKumekucha na kama kawaida ninasema asante kwa shululu kutupandishia magazeti, mjomba lee empire kwa UF na BlessedHope kwa sala. Ninyi huianzisha siku na sis tunafurahia sana.
Najua Mussolin5 atakuja tu muda si mrefu kwa Historia na Bitoz kwa kuboresha historia.
Zaidi asante kwetu sote kwa kujitokeza hapa na kuifanya Makapuku forum kuwa ni ya kipekee kabisa. Nawapenda
Kazi ya Magu haina makosa hivyo nimechoka kumjadili kila siku bora nikaushe
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
Tukutane baadaye
......

Shunie yupo msibani, alifiwa na babu yake na Mjomba wakeAsante Lee mwanangu Shunie yuko wapi msalimie nawatakia siku njema mbarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hao wana vipara vya asiliStaili ya maisha inabadilika pamoja umri... Pengine mvi nyingi... Hawataki zionekane
Shukran ...mwanaoo yupo msibanAsante Lee mwanangu Shunie yuko wapi msalimie nawatakia siku njema mbarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nifikishie my condolences kwa shem Rafiki kipenzShukran ...mwanaoo yupo msiban
Rafikiii kipenziiiiiiiNifikishie my condolences kwa shem Rafiki kipenz
Asante
nsekwa za mchanaAsante
Mbona umesarenda Madenge? Viongozi hawa kuwajadili ni sawa. Sema tu sijui kama haya yanayosemwa huwa yanawafikia. Ni kazi ngumu kuwa kiongozi lakini pia yaweza kuwa kazi ngumu zaidi kuwa mwongozwaji. Watafiti kule Marekani wanasema kuwa hii inaweza hata kuwa hatari kwa afya yako. Wamewafuatilia wale waliokuwa hawampendi Obama kabisa kabisa miaka minane ilitosha kuwapa kisukari, blood pressure, magonjwa ya moyo na depression kwa kiwango kikubwa. Wameonya hata wanaomchukia Trump wajiandae vizuri kisaikolojia. Sijui kwetu mambo yakoje. Jiangalie Madenge. These politicians don't give a damn!Kazi ya Magu haina makosa hivyo nimechoka kumjadili kila siku bora nikaushe
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
Tukutane baadaye
......
Tutajitaidi chiefMtuwekeee humu kule tuwaachiee wao
Nzuri mkuu shededeWakuu habar za mchana??
Njema mkuu Ipogolo kamwene mnyalukoloBlessed Hope habar ya Leo MAMA?
Hakika,moyo uliotulia ni dawa ya mwili,Mungu atusaidie tusiwabebe watu hadi afya zikadorora wakati wao hawajali Mungu atusaidie sanaMbona umesarenda Madenge? Viongozi hawa kuwajadili ni sawa. Sema tu sijui kama haya yanayosemwa huwa yanawafikia. Ni kazi ngumu kuwa kiongozi lakini pia yaweza kuwa kazi ngumu zaidi kuwa mwongozwaji. Watafiti kule Marekani wanasema kuwa hii inaweza hata kuwa hatari kwa afya yako. Wamewafuatilia wale waliokuwa hawampendi Obama kabisa kabisa miaka minane ilitosha kuwapa kisukari, blood pressure, magonjwa ya moyo na depression kwa kiwango kikubwa. Wameonya hata wanaomchukia Trump wajiandae vizuri kisaikolojia. Sijui kwetu mambo yakoje. Jiangalie Madenge. These politicians don't give a damn!