BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Njema kaka za uzima ubarikiweWakuu habar za mchana??
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Njema kaka za uzima ubarikiweWakuu habar za mchana??
Kamwene mwa Blessed. !
Nene SeBlessed mnyalukoloKamwene mwa Blessed. !
Shukran ...mwanaoo yupo msiban
nani amefariki?poleni sana,Mungu awape uvumilivu wa kimapendo
R.I.PPoleni sana Mungu awatie nguvu.Shunie yupo msibani, alifiwa na babu yake na Mjomba wake
View attachment 515890Kutoka magazetini kwa leo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono bitoz kuwa wa kwanza kufikisha likes 100
Jumatatu njema makapuku wote
shukrani hnyAsante my swi![]()
![]()
shukrani hny
Mkuu nakuelewa sanaUnajua sababu yake? Wenzetu kule mara nyingi kugombea cheo cho chote ni lazima uwe na pesa za kueleweka. Uwe na vibiashara vyako vinavyoeleweka na kamwe hawategemei siasa ili kuendesha maisha yao. Siasa wanajiingiza ili kupata influence waendelee kupitisha sheria zenye usalama zaidi kwa biashara zao ili waendelee kujinufaisha zaidi na zaidi. Ndiyo maana kwa wenzetu hawa kuachia madaraka na kujiuzulu is no big deal. They are already set for life.
Wakiacha madaraka, hata kama siyo wafanyabiashara wakubwa au matajiri, wanajua kuwa watapiga hela ndefu kwenye vitabu na hata mihadhara ya kualikwa katika taasisi mbalimbali husika. Mkuu wa polisi kama Mangu huko angeweza kutoza hata dola 100,000+ kwa mhadhara mmoja kuhusu mambo ya usalama, madawa ya kulevya na ugaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Akitoa mihadhara 30 kwa mwaka tayari ni pesa ndefu ya kutosha. Directors wengi wa CIA, FBI na hata wakuu wa polisi wa miji mikubwa kama Chicago, Los Angeles na New York hupiga pesa ndefu kwa njia hii ali mradi tu wasifichue mambo ambayo bado yapo classified.
Naamini Mangu ni tajiri tayari na ana mafao ya kutosha lakini kustaafu na kulinda hadhi ya jina lako katika historia bado siyo utamaduni wetu. Watu wako radhi kudhalilishwa na wanasiasa, kujinyenyekeza na hata kupoteza utu wao. Ni aibu tupu!
Yule Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa kipindi kile akaanza kulia kuwa anatoka ukoo masikini na ana familia inamtegemea, wakati ana PhD ya kilimo alinisikitisha sana. Wanachukulia vyeo hivi kama ajira za kudumu hata kama wamefisadika vya kutosha. Inashangaza sana!
Aaaah shemela!!Wakuu habar za mchana??
Kweli aiseeMbona umesarenda Madenge? Viongozi hawa kuwajadili ni sawa. Sema tu sijui kama haya yanayosemwa huwa yanawafikia. Ni kazi ngumu kuwa kiongozi lakini pia yaweza kuwa kazi ngumu zaidi kuwa mwongozwaji. Watafiti kule Marekani wanasema kuwa hii inaweza hata kuwa hatari kwa afya yako. Wamewafuatilia wale waliokuwa hawampendi Obama kabisa kabisa miaka minane ilitosha kuwapa kisukari, blood pressure, magonjwa ya moyo na depression kwa kiwango kikubwa. Wameonya hata wanaomchukia Trump wajiandae vizuri kisaikolojia. Sijui kwetu mambo yakoje. Jiangalie Madenge. These politicians don't give a damn!