Makapuku Forum

Makapuku Forum

1975 - Mwanamuziki Mel B anazaliwa.

Alikuwa ni member wa kundi la muziki la Spice girls.
af3696a9e45f3fa81925248fa6519b63.jpg
5fffa2388d5bca11e9ed6b31bca4a502.jpg
ee4863a5be3a419d904a4fe32d1347e8.jpg
Jinalake ni Melanie Brown
.....
 
1977 - Massimo Ambrosini anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.

Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha dhahabu cha Ac Milan kilichotikisa Ulaya kando ya Pirlo, Gattuso, Kaka na wengineo.

Baada ya kustaafu kwa Paolo Maldni, Ambrosini aliteuliwa kuwa nahodha mpya wa kikosi hiko.

Ametwaa klabu bingwa ulaya mara mbili akiwa na Ac Milan.
b7ddfb8f0f0f5c02fb9ba511bff01a43.jpg
17c4287111becbbe6fd66076afe68eaa.jpg
 
2013 - Albert Mangwea anafariki Dunia.

Mmoja ya wanamuziki waliokuwa na vipaji vya hali ya juu kuwahi kutokea katika Bongo fleva.

Tarehe ya kifo chake inachanganya, kuna wanaosema 28 na kuna wanaosema 29.

Pengo aliloacha hakika bado halijazibwa mpaka leo.
b6e0d4eaeac1b8239ddb7856817b7ae6.jpg
369a1119427d9edf496ff28f29299ca2.jpg
33e95b20caa580063571433b836f3c1b.jpg
Jamaa alikuwa na kipaji kumzidi Diamond
Ila starehe{Mitungi,blant,mikasi) zikampoteza ndani ya Dakika 3 kama Ferouz mzee wa Starehe
Inasemekana alifariki baada ya kuzidisha unga na kilaji huko kwa Madiba ila maiti yake ilionekana kuwa na damu puani
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom