Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Wamebebwa au mbao walitingwaUbingwa ukipatikana kwa mbelekp km ya Thimbwa wala haunogi
Waamuzi ndo chanzo cha vurugu uwanjani
Ila Wasukuma wamekomaa sana halafu dk ya Mwisho mtu anapewa penati ya DEZO
UPUMBAVU MTUPU
.
Hongereni mashabiki wa Simba
Ole wenu msimu ujao tiwasikie "Yanga anabebwa"
![]()
![]()
![]()
.........

