shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HBD Wade1926 - Abdoulaye Wade anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya tatu nchini Senegal.
HBD Wade1926 - Abdoulaye Wade anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya tatu nchini Senegal.
HBD Matteo1970 - Roberto Di Matteo anazaliwa.
Mchezaji na kocha wa zamani wa Chelsea kutoka Italy.
Aliwapa ubingwa wa ulaya Chelsea.
HBD Massimo1977 - Massimo Ambrosini anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha dhahabu cha Ac Milan kilichotikisa Ulaya kando ya Pirlo, Gattuso, Kaka na wengineo.
Baada ya kustaafu kwa Paolo Maldni, Ambrosini aliteuliwa kuwa nahodha mpya wa kikosi hiko.
Ametwaa klabu bingwa ulaya mara mbili akiwa na Ac Milan.
HBD Arshavin1981 - Andrey Arshavin anazaliwa.
Kiungo wa zamano wa Arsenal na timu ya taifa ya Urusi.
RIP Mangwea2013 - Albert Mangwea anafariki Dunia.
Mmoja ya wanamuziki waliokuwa na vipaji vya hali ya juu kuwahi kutokea katika Bongo fleva.
Tarehe ya kifo chake inachanganya, kuna wanaosema 28 na kuna wanaosema 29.
Pengo aliloacha hakika bado halijazibwa mpaka leo.
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante mkushi wa kusi, za kupotea lakiniShukran Shululu ....Juma tatu njema kwako piA
Njema za hapa ndanAsante mkushi wa kusi, za kupotea lakini
1931 - Michele Schirru anauwawa na Kikosi cha Jeshi la Italy ni baada ya jaribio lake la Kumuua Benito Mussolini kushindikana.
Nzuri, karibu tenaNjema za hapa ndan
1953 - Edmund Hillary na Sherpa Tenzing wanakuwa watu wa kwanza kugika katika kilele cha Mlima Everest.
1973 - Tom Bradley anachaguliwa kuwa Meya wa kwanza mweusi waLos Angeles huko California
1985 - Heysel Stadium disaster: Mashabiki 39 wanafariki wakati wengine 600 wanajeruhiwa baada ya Ukuta kudondoka katika mechi ya Fainali ya ulaya kati ya Juventus na Liverpool.
1988 - Rais wa Marekani, Ronald Reagan anatembelea Jamhuri ya Kisoviet ya Urusi na kufanya mazungumzo na Rais Mikhail Gorbachev.
1999 - Olusegun Obasanjo anachaguliwa kama Rais wa Nigeria baada ya utawala wa miaka 16 wa Kijeshi nchini humo.
1917 - John F. Kennedy anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 35 wa Marekani, aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 1963.
Kwa kuvaa tu anavaa vizuri sana aisee![]()
![]()
Nasikia jamaa katiba sana
Nampendea uvaaji wake ni km Gaddafi havai suti kabisa
.....
1926 - Abdoulaye Wade anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya tatu nchini Senegal.
1970 - Roberto Di Matteo anazaliwa.
Mchezaji na kocha wa zamani wa Chelsea kutoka Italy.
Aliwapa ubingwa wa ulaya Chelsea.