Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170529-WA0000.jpg
Kutoka magazetini kwa leo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono bitoz kuwa wa kwanza kufikisha likes 100

Jumatatu njema makapuku wote
 
Kumekucha na kama kawaida ninasema asante kwa shululu kutupandishia magazeti, mjomba lee empire kwa UF na BlessedHope kwa sala. Ninyi huianzisha siku na sis tunafurahia sana.

Najua Mussolin5 atakuja tu muda si mrefu kwa Historia na Bitoz kwa kuboresha historia.

Zaidi asante kwetu sote kwa kujitokeza hapa na kuifanya Makapuku forum kuwa ni ya kipekee kabisa. Nawapenda
 
MAOMBOLEZO 3

20.Nafsi yangu ikali ikiyakumbuka hayo,nayo imeinama ndani yangu .

21.Najikumbusha neno hili kwa hiyo Nina matumaini.

22.Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,kwakuwa rehema zake hazikomi

23.Ni Mpya kila asubuhi;uaminifu wako ni mkuu.

Asante BABA kutuamsha salama uwe kiongozi wetu Amen.
MBARIKIWE

Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
Asantee mama mchuchu
 
Kumekucha na kama kawaida ninasema asante kwa shululu kutupandishia magazeti, mjomba lee empire kwa UF na BlessedHope kwa sala. Ninyi huianzisha siku na sis tunafurahia sana.

Najua Mussolin5 atakuja tu muda si mrefu kwa Historia na Bitoz kwa kuboresha historia.

Zaidi asante kwetu sote kwa kujitokeza hapa na kuifanya Makapuku forum kuwa ni ya kipekee kabisa. Nawapenda
Bhinamu naona umeizoeeaa simatiiifoniiii kiukwelii tachiii haikusumbui...

Uwe na siku njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom