Makapuku Forum

Wakuu, Shedede leo kapotelea wapi? Au kabanwa na mkewe hakuna kutoka leo? Couplez hizi ni pasua kichwa hapa Makapuku.

Anyway, nilikuwa nataka kutoa taarifa kuwa ile hadithi yake nimei-edit vizuri na iko tayari. Akirudi nadhani atairusha. Ni hadithi decent na Shedede ni mwandishi mzuri wa kiwango chake na akikazana na kufuata mawaidha na ushauri wangu wa kitaalamu atafika mbali.

Jana niliona watu wakinilaumu kuwa nawabania hadithi. Basi kazi yangu kama editor nimeshaimaliza na kuanzia sasa lawama zote zielekezwe kwa mwandishi (Shedede) mwenyewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…