Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Shem BrizeeeEnzi
Wapi briz
Shem BrizeeeEnzi
Wapi briz
TunaiwaitHabarini kapukuz, old is ever gold itawajia hivi punde![]()
Big mountain- Baby i love your way
Daah huu wimbo huu daaaah![]()
Sawa mi hermanaShukrani sana twin
Usiwe unaadimika hivyo jamani![]()

Asante sweetie .....Old is gold ililetwa kwenu nami Sweetie pie a.k.a Jimena's pacha a.k.a mwana mpotevu. Love ya'll. Nawatakieni weekend njema
Kama kauwaaaaTuliimiss sana
Hao ndio Simbwa point za mezani ziliwagomeaRefa hakuwa fair
Wasukuma kukomaa ni kawaida yetu...Ubingwa ukipatikana kwa mbelekp km ya Thimbwa wala haunogi
Waamuzi ndo chanzo cha vurugu uwanjani
Ila Wasukuma wamekomaa sana halafu dk ya Mwisho mtu anapewa penati ya DEZO
UPUMBAVU MTUPU
.
Hongereni mashabiki wa Simba
Ole wenu msimu ujao tiwasikie "Yanga anabebwa"
![]()
![]()
![]()
.........


. Sijui cho chote kuhusu soka kwa hiyo sina la kusema. Hongera kwa walioshinda na walioshindwa wajiandae kwa mwaka ujao. Ndo maisha ati!
Ahaaahaaahaaa madenge bwana hupendi majirani zako wapande ndege ...kuwa na huruma banaaaahUbingwa ukipatikana kwa mbelekp km ya Thimbwa wala haunogi
Waamuzi ndo chanzo cha vurugu uwanjani
Ila Wasukuma wamekomaa sana halafu dk ya Mwisho mtu anapewa penati ya DEZO
UPUMBAVU MTUPU
.
Hongereni mashabiki wa Simba
Ole wenu msimu ujao tiwasikie "Yanga anabebwa"
![]()
![]()
![]()
.........

Bwana shimba ya buyenze nina salamu zakoWasukuma kukomaa ni kawaida yetu.... Sijui cho chote kuhusu soka kwa hiyo sina la kusema. Hongera kwa walioshinda na walioshindwa wajiandae kwa mwaka ujao. Ndo maisha ati!
Mtaongea mengiiii jamaniiiiiiHao ndio Simbwa point za mezani ziliwagomea
Now wamepewa tiketi ya kupanda ndege na refa wao
![]()
![]()
![]()
......
Niajeeee niajeeeeoy oy guyz
Nahisi wale ni Simba jike hivyo wanepewa Gender privilege baada ya kuonekana kuzidiwa na Madume ya KwanzaWasukuma kukomaa ni kawaida yetu.... Sijui cho chote kuhusu soka kwa hiyo sina la kusema. Hongera kwa walioshinda na walioshindwa wajiandae kwa mwaka ujao. Ndo maisha ati!
Natambua uwepo wako hapaAsante sweetie .....
Sioni wivu wowoteAhaaahaaahaaa madenge bwana hupendi majirani zako wapande ndege ...kuwa na huruma banaaaah
![]()
![]()
Nimechukia sanaaaHao ndio Simbwa point za mezani ziliwagomea
Now wamepewa tiketi ya kupanda ndege na refa wao
![]()
![]()
![]()
......
Kweli kabisa na mm najitambuaaaaa kwa kweliiiiNatambua uwepo wako hapa
Nimechukia sanaaa