Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwangu utakulaa utashibaaa ...Mambo yangekuwa mbona maisha yangekuwa magumu sana
Kwangu utakulaa utashibaaa ...Mambo yangekuwa mbona maisha yangekuwa magumu sana
Kamali ya mke ?? AuHiyo ni kamali na nidhuruma kabisa na Mimi huwa si chezi kamali yaaina yoyote
KwanguHalali kutoka kwa nani
We tizamaSina kampani natazama tu
Pesa haitatuumaa kama mkeWeka pesa, tumkabidhi mussolin inbobo au aganza
Sawa mkuuWe tizama
Haita.......???Pesa haitatuumaa kama mke
UmaaaHaita.......???
England FA Cup Final
Clkey vs shululu
![]()
ARSEN WENGER ni Kocha mwenye uwezo Mkubwa sana wa kuzibadili big match zikawa mechi za kawaida kabisa ...... Na hichi wana Arsenal wanakifahamu sana japo wanajificha. Baada ya kushtuka na kujifunika shuka kushapambazuka mzee huyu alikumbuka kipigo alichompa chelsea na kupelekea mzee Antonio achange mawwzo ..tumeona namna mapinduzi ya mfumo wa 3:4:3 yalivyomfaidisha babu Wenger katika michezo ya mwishoni mwa Msimu. Majeruhi alionao Bado wanampa wakati mgumu sana kupigana vita hii.
ANTHONY CONTE teyari gari lake lilishawaka mda sana, ile score timing na winning time aliyokuwanayo ndio kitu kilichoifanya Chelsea iwe katika ubora wao Msimu huu..... Amekuwa mgumu sana na bora zaidi katika vitu hivyo viwili.... Muda wa kufunga na namna ya kumaliza mchezo. 3:4:3 hii ndio imekuwa sumu yao na maziwa yake mwenyewe.
Kukosekana kwa Koscielny mtu ambaye amekuwa mhimili wa Arsenal katika back line Bado kutapunguza ubora na uimara wa Arsenal katika mchezo huu....... Ni ngumu kukaa Siti ya mbele huku beki wako watatu ni Nacho, Bellarin na Holding. Njia pekee ya usalama wa Peter Cech ni coquelin na Xhaka eneo la kiungo.Shukrani sana mkuu kwa uchambuziTuweke kwanza pembeni "upuuzi wa lee"
Kwa wapenzi wa kabumbu baada ya kumalizana dodoma macho na masikio na dunia itasimama kwa mda kushuhudia mtanange kabambe wa vigogo hawa ...bwanabwaaanaaah usikubali kusimuliwa .
Anyway baada ya futuhi kujihakikishia usajili wa mwaka mzima watawashuhudia wenzao arseno wakijaribu kuona kama watamshinda huyu le geneous Antonio na falsafa zake alizowamezesha watukutu wa bilionea yule bwana ...
Twende sawa ....
ARSEN WENGER ni Kocha mwenye uwezo Mkubwa sana wa kuzibadili big match zikawa mechi za kawaida kabisa ...... Na hichi wana Arsenal wanakifahamu sana japo wanajificha. Baada ya kushtuka na kujifunika shuka kushapambazuka mzee huyu alikumbuka kipigo alichompa chelsea na kupelekea mzee Antonio achange mawwzo ..tumeona namna mapinduzi ya mfumo wa 3:4:3 yalivyomfaidisha babu Wenger katika michezo ya mwishoni mwa Msimu. Majeruhi alionao Bado wanampa wakati mgumu sana kupigana vita hii.
Apooo chachaaaaaa....
ANTHONY CONTE teyari gari lake lilishawaka mda sana, ile score timing na winning time aliyokuwanayo ndio kitu kilichoifanya Chelsea iwe katika ubora wao Msimu huu..... Amekuwa mgumu sana na bora zaidi katika vitu hivyo viwili.... Muda wa kufunga na namna ya kumaliza mchezo. 3:4:3 hii ndio imekuwa sumu yao na maziwa yake mwenyewe.
Kukosekana kwa Koscielny mtu ambaye amekuwa mhimili wa Arsenal katika back line Bado kutapunguza ubora na uimara wa Arsenal katika mchezo huu....... Ni ngumu kukaa Siti ya mbele huku beki wako watatu ni Nacho, Bellarin na Holding. Njia pekee ya usalama wa Peter Cech ni coquelin na Xhaka eneo la kiungo.
Kumchezesha Alexis Sanchez kama mshambuliaji wa mwisho mbele, kunaweza kupunguza mashambulizi kwa kiasi kikubwa sana. Hii inatokana na ubora wa Alexis Sanchez akiwa anakimbia na mipira kuliko kukaa kusubiri mipira ije katika eneo lake.
Hii ni FA na mara nyingi babu Wenger akiwa akijua sana namna ya kushinda michezo hii ila shaka yangu ni namna wanavyojipanga katika eneo la beki na mfumo atakao ingia nao....... Hii ni vita nyingi kwa Arsen Wenger na arsenal kama chochote kitatokea.
Tujutane baadae kuedit matokeo
Arsenal _vs Chelsea_
Naunga mkono hojaAccording to Bob Marley kila mmea uliopo duniani ni halali na kitu chema![]()
Aliyeuleta ndo aulizwe kwanini kauleta
![]()
![]()
![]()
......
HakikaKila mtu awe huru na Imani yake![]()
Ikumbukwe kuna watu humu walifunga Kwaresma na hakukuwa na maneno mengi.
Hivyo ndugu zangu tuzianze kubughudhiana
.........
DahShida nyingine ni kuishi kijamaa hivyo watu hawana uchungu na maisha ...wanajua hata wakifanya ujinga kuna washikaji wa kuwasaidia ni upuuzi mtupu
Mfano Mr Nice enzi akiwa staa na staili yake ya TAKEU aliingiza mpunga mrefu tu na shoo za kutosha leo hii ni chapombe aliyejichokea na kufilisika kisha anataka kusaidiwa na watu wanamsaidia tu ana endelea kutandika mitungi
Matokeo yake wanamuziki chipukizi nao wanafanya ujinga maana wanajua watasaidiwa tu
We Call it Stupidity
.......