Makapuku Forum

Makapuku Forum

3ff0a835a9bf9be33c5a9e7f330c3510.jpg
 
Kafiwa mkuu na taarifa niliitoa mapema sana kabla ya uf

Kafiwa na babu yake pamoja na mjomba wake at the same time
Thread ina spidi
Siyo rahisi kukuta post 200 halafu mtu usome zote
Mi kawaita nasomaga post chache tu haswa vipindi/segment tu
Post zingine narukaruka tu
.
Nitamtamtafuta nimpe pole
.......
 
Wimbo mtamu kabisa huu, asante mdau.

Big Mountain waliurudia wimbo huu ambao kwanza uliimbwa na kuchezwa na Frampton (jamaa anapiga gitaa huyu). waowameupiga kwenye mahadhi ya reggae na gitaa unalosikia likipigwa kwa kipekee 9electric guitar) limepigwa na mjamaika Tony Chin huku bass ikipigwa na Copeland.

Ukipenda nitaweza kuweka original version yake J3, ikiwa utapenda lakini.
Uiweke aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom