Makapuku Forum

Makapuku Forum

22a011e5785fda0239a9b2c79e95a519.jpg
Hongereni ArsayNO fans wote
Now Chelsea ana kombe 1
Man Utd ....................2{achana na ngao)
ArsayNO .............1
Kila mtu kajibebea
......
Asante Asante
 
Nishausoma upepo na kuamua kukausha
Uzi hauwezi kutembea jukwaa lile zaidi zitajaa comment za mipasho tu
Hata Dikteta alishaweka nondo kule japo siyo makala
Watu kibao wanaandika makala nzuri kule uzi hautembei wala kuchangiwa
MJUKUU WA CHIFU mwenyewe naona keshaanza kupotea kule Alikuwa ana post thread za mambo mbalimbali mazuri tu anaishia kuambulia page 1 tu
Ila siku akakopi bandiko la mtu uzi ulisogea kinoma kwa kupondwa na matisi

.....
Mjukuu simjui
Itakuwa alipost kipindi sipo hewani

Mi nikiwa na uzi wa maudhui ya kule ntaupost tu no matter what
 
Mimi pia ningependa kuandika makala kule Jamii Intellligence ila siku hizi kumeibuka kasumba fulani hivi kule jukwaani watu wanaleta ushabiki kama Team Kina na Diamond....kila atakayeanzisha makala anaambiwa "huwezi kushindana na Fulani..oooh mwachie fulani ndo anayejua"
Matokeo yake wengiwanaamua kuacha au kutoandika makala na Jukwaa kukosa msisimko

.....

.
Hata mimi niliona. Kila anayeandika sasa inabidi achekechwe kupitia chekecho la The Bold. Ndiyo wabongo hao lakini. Kukatishana tamaa utafikiri watu wote wanafanana kiuzoefu, kimtazamo na hata kivipaji. Usitegemee encouragement kutoka kwa Mbongo hata siku moja na ukiwasikiliza utakata tamaa. We andika tu. Makapuku tupo tutakupa sapoti ya kutosha. Au iweke huku huku kwetu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom