Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sasa hutanimiss tena kwavile nimerudi kwa nguvu mpyaKweli kabisa na mm najitambuaaaaa kwa kweliiii
Ila huwa nakumis![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa hutanimiss tena kwavile nimerudi kwa nguvu mpyaKweli kabisa na mm najitambuaaaaa kwa kweliiii
Ila huwa nakumis![]()
![]()
![]()
![]()
Sioni wivu wowote
Ila ukweli kila mwenye macho ameona
.......
Umeangalia mpira?Mtaongea mengiiii jamaniiiiii![]()
Mi na mbekeko tofauti
Weraaaa weraaaaaaaaaSasa hutanimiss tena kwavile nimerudi kwa nguvu mpya
Mkuu mm ni thimbaaaaa damuuu tutabishana mpaka kesho ...Umeangalia mpira?
Mbao kamyimwa pwnati ya wazi wazi halafu Thimbwa amepewa penati ya magumashi tena dk ya Mwisho
Huu ni mwezi wa Ramadhan tusije kuharibu swaaumu za watu bure
Acha ushabiki wa kinazi
Kila mwenye macho ameona
.......
Big mountain- Baby i love your way
Daah huu wimbo huu daaaah![]()
Nahisi wale ni Simba jike hivyo wanepewa Gender privilege baada ya kuonekana kuzidiwa na Madume ya Kwanza
![]()
![]()
........
UiwekeWimbo mtamu kabisa huu, asante mdau.
Big Mountain waliurudia wimbo huu ambao kwanza uliimbwa na kuchezwa na Frampton (jamaa anapiga gitaa huyu). waowameupiga kwenye mahadhi ya reggae na gitaa unalosikia likipigwa kwa kipekee 9electric guitar) limepigwa na mjamaika Tony Chin huku bass ikipigwa na Copeland.
Ukipenda nitaweza kuweka original version yake J3, ikiwa utapenda lakini.
Wanaujua mzikiii wetu tukipandaga ndegeHiyo ndo Simba, wataalam wa soka la kimataifa.
BTW: Umelamba sabuni gani, mbona mapovu?
![]()
Ni shwari kabisa Jorowe
Kumekuchaje huko Ntwara?
Wanaujua mzikiii wetu tukipandaga ndege
Uiweke
Tupo machizi mziki kibao tu
Bhinamuuu ongezeaaa nyagiiiiii bili kwanguYaani wenyewe ni abiria wanashindana na rubani😀😀😀😀😀😀
Simba raha sana
We are partners when it come to music so uje uweke tu Obe wangu....Wimbo mtamu kabisa huu, asante mdau.
Big Mountain waliurudia wimbo huu ambao kwanza uliimbwa na kuchezwa na Frampton (jamaa anapiga gitaa huyu). waowameupiga kwenye mahadhi ya reggae na gitaa unalosikia likipigwa kwa kipekee 9electric guitar) limepigwa na mjamaika Tony Chin huku bass ikipigwa na Copeland.
Ukipenda nitaweza kuweka original version yake J3, ikiwa utapenda lakini.

. Nimependa ulivyo flow na history ya hao jamaa uko sahihi kabisa, mi napenda reggae so ndo maana nikauweka huoWhaat....upo Ntwara!?Hapa Mtwara hali ya hewa ni kijoto kidogo na upepo wa kawaida na magari ya Wabenedektine yanapita kwa utulivu kabisa.
Mi nipo Indian Quarters we ntakutafuta aiseeYeah, thanks. Nitaiweka jtatu ili nisiharibu siku ya Sweetiepie , wikend ni zake na ninamfurahia maana nami napata ladha tofauti
Niko hapa Shangani tunafurahia Ubingwa wa Simba
Namuonnaa tumosa ndani ya dela leo
Namuonnaa tumosa ndani ya dela leo