Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tupate ratiba ya mechi za leo Kwa udhamini wa BlessedHope na werrason
fd3c59e976921a1a6b0e362bd4615d9e.jpg
 
1937 - Daraja la Golden Gate Bridge lafunguliwa huko California nchini Marekani.

Ni moja kati ya madaraja makubwa yanayopatikana nchini humo.

Pia daraja hilo hutumika kama nembo ya timu ya mpira wa kikapu ya Golden state Warriors
13c8f493f91a0464498e36a7c5891b5a.jpg
8826d991760219f7957f5f829e1899d8.jpg
fca7a39c3c81f7fe77f6770200d0eed9.jpg

Mambo tunayoanza kuyafanya sasa wenzetu walishayafanya karibia miaka 100 iliyopita mfano kujenga Flyovers
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom