Makapuku Forum

Makapuku Forum

1987 - Gervinho anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, As Roma na timu ya taifa ya Ivory Coast.
952cb7052baa4dae878814e6f6c2a402.jpg
5376f492de7bfbced4ce6b7c08a82010.jpg
 
08010d71b360b96fc9d445a6309b4461.jpg
Alikuwa na kipaji kikubwa
Wayne Rooney anaitwa Wazza ikiwa ni kufananishwa na Gazza
c781ea658137e004eedeeac9f04a7326.jpg
Tukio lake la kumwaha chozi uwanjani wakati wa World Cup 1990 huko Italia lilipata umaarufu mkubwa
f655940b9d0157c2b7aed93a8d67b3f0.jpg
Anaishi katika maisha aliyojichagulia mwenyewe km George Best
Wazungu hawaangahiki na watu hata km ni mastaa km hutaki kubadilika wanakuacha ufe na ujinga wako km Amy Wintehouse

Siyo Bongo kina Chid Brnz,Dogo Mfalme,Ray C n.k wanapewa kick za kusaidiwa kila siku na wanarudia ujinga wao na watu wanaendelea kuhangaika nao
Matokeo yake hatuwi na nidhamu na maisha

Stupid
.......
Kwasbabu wanajua fika kuwa kama wewe mwenyewe hujaamua kutoka moyoni kuacha itakuwa ni kupoteza muda tu na fedha kitu ambacho hawako tayari kukifanya
Tatizo sisi hatujiongezi tunachojua ni kutafuta sifa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom