Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante sana mwenyekiti wa weka picha kwa historia
Sabato njema na kwako pia

Ramadhani Mubarak kwa wana familia wote ambao wanatimiza nguzo hiyo ya uislamu
1a4dd00c28e07fa227330f69651bb75a.jpg
Kila mtu awe huru na Imani yake
Ikumbukwe kuna watu humu walifunga Kwaresma na hakukuwa na maneno mengi.
Hivyo ndugu zangu tuzianze kubughudhiana
.........
 
Kwasbabu wanajua fika kuwa kama wewe mwenyewe hujaamua kutoka moyoni kuacha itakuwa ni kupoteza muda tu na fedha kitu ambacho hawako tayari kukifanya
Tatizo sisi hatujiongezi tunachojua ni kutafuta sifa tu
Shida nyingine ni kuishi kijamaa hivyo watu hawana uchungu na maisha ...wanajua hata wakifanya ujinga kuna washikaji wa kuwasaidia ni upuuzi mtupu
Mfano Mr Nice enzi akiwa staa na staili yake ya TAKEU aliingiza mpunga mrefu tu na shoo za kutosha leo hii ni chapombe aliyejichokea na kufilisika kisha anataka kusaidiwa na watu wanamsaidia tu ana endelea kutandika mitungi
Matokeo yake wanamuziki chipukizi nao wanafanya ujinga maana wanajua watasaidiwa tu
We Call it Stupidity
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom