Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Kiki za kisiasaTena wengine wanahudumiwa mpaka na Rais ila bado wanarudia..
Huyu bado yupo hai, ingawa kuna kipindi alikuwa ICU
Au mpaka tuufufue ule uziKapoteaa simuoniii
Edo naye mnafikiMaisha bila Unafki hayaendi. - Edo Kumwembe
Itakuwaa poaaaAu mpaka tuufufue ule uzi
Kuna mda waga namuuelewa huyu rafiki yangu edo ila mda mwingine simuelewiiii ila huwez mlinganisha na dauda ...Edo naye mnafiki
Uzuri ukimtania kwenye page yake wala hapaniki
Nishawahi kukutana naye face to face enzi hizo akiandika makala gazeti la Bingwa pale Sinza ofisi za New Habari Corporation(Mtanzania)
.....
Anatufelisha sanaa
Sizonje apimwe akiliEti ole wake atakaye ijadili tena, sizonje buana
Watasikia tuLegalize canabis
Holly weed
Tupaze sauti mpaka wasikie
Naomba usinitoneshe hiki kidonda, maana kinasumbua kupona
Nmefurahi shemelaMbona unachekaa mke mweee
Malezi yake ndio sababu kuuSizonje apimwe akili
90% ya kauli zake ni za kipumbavu zimejaa maneno ya khanga na majivuno tushayazoea
Ndiyo tabu ya mtu kuupata uongozi bila kutarajia
........
Sawa mkuuItakuwaa poaaa
Mmmmmh mke mweeeNmefurahi shemela
Anakumbuka his good old days!Kiki za kisiasa
![]()
Keshafikia level A ya uteja
Kiasi cha kutembea peku mitaani
Unga utamuua tu
.........
![]()
![]()
![]()
Holy weed
Jamanniiiiii mke mweeeeMke mweee Shunie ww ni shemela jamani![]()
![]()
![]()
Andunje ni andunje tuMessi pamoja na ufupi wake aliruka juu zaidi ya Rio Ferdinand na kupiga header moja safi na kumuacha Edwin Van Der Sar asijue la kufanya.
According to Bob Marley kila mmea uliopo duniani ni halali na kitu chema![]()
Aliyeuleta ndo aulizwe kwanini kauleta
![]()
![]()
![]()
......