Makapuku Forum

Mpira wa bongo unafurahisha sana

Hivi zile pesa wanazotumia kwa kuweka kambi huko mikoani vipi kama wangewekeza wawe na viwanda vyao vya mazoezi?
Yaani timu za Tanzania zina mambo mengi kuliko tunavyo ona mambo ya viwanja ni makusudi ya watu Fulani wanao ziongoza maana kambi wanazo weka kwa msimu mzima zinatosha kusogeza ujenzi wa uwanja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…