Pamoja kiongoziKwa hisani ya lee empire na udhamini wa Mndali ndanyelakakomu tukapate UF kwa mara nyingine na leo tutaangalia zaidi mmea MARIJUANA
Kulu vip??Habari wadau
Hivi wameshatoka kule mafichoni au?Wanaishi kwa kukariri mvua ikinyesha Dodoma na ule uwanja ulivyo Simba hawawezi kucheza Mpira hata kidogo
Upo kiongoziKulu vip??
Tuko pamoja mkuuMpaka wakati mwingine tena![]()
Tukutane kwenye ratiba ya mechi za leo
Afande msitafuu habr yakoKulu vip??
Online transaction! Money to marijuana [emoji15] [emoji15] aisee amaizing
Wako dodoma toka juziHivi wameshatoka kule mafichoni au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawakujua kuwa ni sumu au
Hahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utani wa ngumi huu