Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Familia iko vizuri kabisaSalama mkuu
Familia haijambo
Leo hali ya hewa vipi huko
Familia iko vizuri kabisaSalama mkuu
Familia haijambo
Pamoja sana ChaplinTunashukuru sana kwa magazeti mkuu.
Nawatakieni mfungo mwema
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo Katika Historia:
Niwatakie mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramdhan, sabato njema na wikend njema kwa wote.
Oooh pole mke mweee Mungu amfanyie wepesi katka kipindi kigumu cha kupotelewa na wapendwa,roho za marehemu zipumzike kwa amani AmenGoodmorning le family letu pendwa ...
Pole sana shunie kwa maswahibu yalikukuta jana ...Mungu yuko nawe katika kipindi hiki kigumu muhimu kuwa na nguvu ya imani ...pole sana
NOTE: shunie jana amefiwa na babu yake ,hajakaa sawa na mjomba wake akafariki ...tumuombee
Morning honey how r u!!Morning family
View attachment 515094Mpaka hapo sina la ziada
Tukutane tena kesho
Kwa udhamini mnono wa Tumosa my swi, tunawatakieni jumamos njema
asante kwa magazeti hnyPole sana shemela wangu shunie kwa kumpoteza babu na mjomba katika kipindi hiki kigumu Mungu akusimamie na piga moyo konde
Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina
AmeniHbr ya asubuhi kaka,vp maendleo ykoNaendelea vizuri habari za huko
Pamoja shululuBAADA YA KUPATA UF SASA TUANGALIE KURASA ZA MAGAZETI YA LEO
Mi niko poa dada utwa ukoHbr ya asubuhi kaka,vp maendleo yko
AmeeeeniiiiOooh pole mke mweee Mungu amfanyie wepesi katka kipindi kigumu cha kupotelewa na wapendwa,roho za marehemu zipumzike kwa amani Amen
Asanteee chiefLeo Katika Historia:
Niwatakie mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramdhan, sabato njema na wikend njema kwa wote.
AminaaaWapumzike kwa amani babu na Mjomba
Na Mungu akamtie nguvu
Shukrani mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramdhan, sabato njema na wikend njema kwa wote.
Ni njema kabisa mkuuAsante habari ya kupambana na maisha
Mi mzima tu VP wwHusna mzima?
Pole kwa kufiwa na babu na anko mungu awape roho ya uvumilivuAminaaa
Ni poa tu,VP ww shemelaa![]()
![]()
![]()
![]()
Habari ya uzima shem wane?
Wingu limetanda huku hali ilivyo haichoshiFamilia iko vizuri kabisa
Leo hali ya hewa vipi huko