Sababu ya udogo wa mjiHuku wanataka ufanyike asubuhi maana maduka yote yamefungwa na vuongozi wako bize na ukaguzi
Pamoja mkuu nyageiTukutane baadae kwenye matokeo ya mechi zilizochezwa leo
Ndio maana yake kama walimpatia Noah why wao wasionje kwanza ili kujua ikoje![]()
![]()
![]()
![]()
inawezekana walitumia pia kama kitoweo
Unajikana?Duuhh dar mnashida xana
Dah2009 - Fainali ya klabu bingwa ulaya inafanyika huko Jijini Rome katika uwanja wa Olimpico.
Barcelona Vs Man Utd, ambapo Barca walishinda kwa goli 2-0 kwa magoli ya Messi na Eto'o.

Jimena mzima?
Pamoja sana ankaliAsante kwa magazeti ankali
Basi sawaThats why sisi ni Dunia ya tatu.
Asante sana mwenyekiti wa weka picha kwa historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramdhan, sabato njema na wikend njema kwa wote.
Naona mafao umeyatumia vizuriNimemaliza nasubiria tu kufungua goli
Sijaifatilia kwa undani ila nayo ilizama baada ya kuizamisha ile ya kiingereza.![]()
![]()
Mkuu na yenyewe wiki moja kabla si iliizamisha meli ya kivita ya Uingereza
Sasa nayo imezamishwa au imepata ajali
Au taarifa zinachanganya?
.......
HajastaafuAfande msitafuu habr yako
Nzuri afande shedede, uko poa lakiniWakuu habar zenu??
Usafi nao vip??
Asante NyageiMpaka wakati mwingine tena![]()
Tukutane kwenye ratiba ya mechi za leo
Shululu anasema hajasitafuNaona mafao umeyatumia vizuri