Pole sana shemela wangu shunie kwa kumpoteza babu na mjomba katika kipindi hiki kigumu Mungu akusimamie na piga moyo kondeGoodmorning le family letu pendwa ...
Pole sana shunie kwa maswahibu yalikukuta jana ...Mungu yuko nawe katika kipindi hiki kigumu muhimu kuwa na nguvu ya imani ...pole sana
NOTE: shunie jana amefiwa na babu yake ,hajakaa sawa na mjomba wake akafariki ...tumuombee
Aisee, salamu zangu za pole ziende kwa mkuu Shunie kwa kuondokewa na ndugu zake muhimu hiyo jana, Mungu ampe faraja kipindi hiki kigumu kwake.Goodmorning le family letu pendwa ...
Pole sana shunie kwa maswahibu yalikukuta jana ...Mungu yuko nawe katika kipindi hiki kigumu muhimu kuwa na nguvu ya imani ...pole sana
NOTE: shunie jana amefiwa na babu yake ,hajakaa sawa na mjomba wake akafariki ...tumuombee
Naendelea vizuri habari za hukoSalama tu mkuu unaendeleaje
Shukrani kwa magazeti mkuu.View attachment 515094Mpaka hapo sina la ziada
Tukutane tena kesho
Kwa udhamini mnono wa Tumosa my swi, tunawatakieni jumamos njema
Morning shemejiMorning family